Fuata yako. Ukimshindwa omba uhamisho
Ni katika shule ya msingi limbende iliyopo halmashauri ya mtwara vijijini mkoa wa mtwara tumempata mwalimu mpya wa daraja la tatu A na tangu alipoti hapa kituo cha kazi hadi leo ametimiza wiki moja hivi, lakini cha kushangaza huyu mwalimu pamoja na ugeni wake katika kazi na hata katika jamii amekua akifanya mambo yake kanakwamba ana muda mrefu hapa, anakunywa pombe ovyo ovyo, anavuta bangi bila kujificha na mbaya zaidi akienda kunywa huchelewa kurudi nyumbani, huwa anarudi usiku wa saa tano hadi saa sita na huwa anatugongea ili tumfungulie na hufanya hivyo, na tumejaribu kuongea nae sisi walimu wenzake ili aache hiyo tabia lakini haonyeshi kubadilika. Naomba ushauri wenu wana jf kuhusu hili tatizo. Huyu mwalimu anatoka mkoa wa mara wilaya ya musoma. Ushauri tafadhari....
HAPO HAJAMDHALILISHA,ametoa uhalisia wa huyo mwalimu aliyekosa maadili..na ndiye anaishi nae katika mazingira hayo..sasa ukisema mtoa taarifa ni mbea kwa styli hii unakosea!Kwa jina lingine mleta mada naweza kukuita mbea,
Unajua taarifa ulizotoa zinamuhusu mtu mwenye dhamana ktk jamii?
Lengo lango ni kumdhalilisha.
Ni vyema ungetueleza mapungufu yako wewe ulionayo kwanza then utueleze ya mwenzako. AU wewe uko perfect kwa kila jambo?
TAFAKARI
HAPO HAJAMDHALILISHA,ametoa uhalisia wa huyo mwalimu aliyekosa maadili..na ndiye anaishi nae katika mazingira hayo..sasa ukisema mtoa taarifa ni mbea kwa styli hii unakosea!
kwa maana hiyo unapoa taarifa au hata tu kuomba ushauri kwa jambo kama hilo ni mbeya..basi kama ni ivo humu jf wengi wambea!!!Hata mimi namuona ni mbea tu kwani alienda kumuomba pesa ya pombe au bangi?
yaan manake time yote upo nduki tu.. ganja plus tungi {inawezekana gongo} maana ashasema nmwalimu mwnyw wa kuuule kwa kina arrrroooh ..na sipati picha class!!kunywa pombe ovyo ovyo ndo kivipi??
kwa maana hiyo unapoa taarifa au hata tu kuomba ushauri kwa jambo kama hilo ni mbeya..basi kama ni ivo humu jf wengi wambea!!!
taarifa yenyewe ni public intrest inayohusu elimu wanayopewa watoto wetu na hawa walimu wasiojitambua..sasa kama unata ziletwe stori za kina wema sijui kanunua pafyum ya milionon...hizo ndo cyo ishu kuzileta..Jamii tunayoishi imejaa kila aina ya mambo sio kila jambo liletwe ktk forums.Ina maana siku mkeo akipika maharage yasipoiva utaleta huku tukushauri nini?