dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Mwalimu Mkuu wa Ukombozi PR.school, akamatwa akipewa rushwa ya Ngono. Mwanamume mtege kila seheumu atashindwa, laikini ukimpa mtego wa katikati ya Miguu, lazima umnase. Sijajua huyu dada ilikuaje au huyu mwalimu ilikuaje hadi wakakutwa.
Hili ni fundisho pia, Unapotaka kumsaidia mtu, msaidia bila kungoja shukrani au Fuata utaratibu wa kisheria kutoa huduma.
Hili ni fundisho pia, Unapotaka kumsaidia mtu, msaidia bila kungoja shukrani au Fuata utaratibu wa kisheria kutoa huduma.
Huyu nasikia alitaka kumuamisha mwanae...kabembeleza wee mwalimu kagoma...
Mwisho kakubali kwa masharti ya rushwa ya ngono...ndio mama kamuitia PCCB...sina details kuna jamaa alikuwa anasimulia hiki ndio nilichoambulia...
Inasikitisha sana...yani amekataa kumsaidia huyu mama mpaka rushwa ya ngono...sijajua alitaka kumwamishia kwenye hii shule au kumtoa kwenye hii shule.
Ila with JPM magogoni rushwa lazima ikome. Wataingia mtegoni wengi sana...vidagaa kama hawa watakamatana wenyewe...mapapa watakamatwa na system.
Sasa hivi raia hawana mchezo...wanakwambia Magufuli hapendi...
Ni hivi, huyu Mwanaume wa Singida ambaye in Mwalimu Mkuu, aliombwa uhamisho wa mdogo wake na huyo Dada kwenda Dar Temeke, basi jamaa ndio akahidi kufacilitate huo uhamisho kwa rushwa ya mchezo.
Akategeshwa na kudakwa wakiwa wawili kama picha inavyo onyesha.