Ama kweli UALIMU KAZI YA Wito MWANAFUNZI mmoja hajui kujumulisha wala kutoa mwalimu katumia njia zote kumuelimisha lakini wapi ikabidi ajaribu njia hii
MWALIMU; kwenu mnafuga nini?
MWANAFUNZI; kuku na mbuzi
MWALIMU; mbuzi mnao wangapi?
MWANAFUNZI; wako 25
MWALIMU; mbuzi 25 toa mbuzi 5 watabaki wangapi?
MWANAFUNZI; unawajua mbuzi wetu au unawasikia ukimtoa mmoja tu wote wanatoka
MWALIMU; mh.................!