Unique Creature Member Joined May 30, 2018 Posts 10 Reaction score 2 Apr 1, 2025 #1 Habari Wakuu Mi Ni Mwalimu Ajira Mpya Serikalini 2025. Nimeingia tu naona Mshara wangu Kizibo Afu Mahitaji Yangu Ni mengi sana. Naomba Ushauri, Nijishugulishe na Kitu Gani Kingine Ambacho kitaniongezea Kipato Changu. Naomba Ushauri wenu.
Habari Wakuu Mi Ni Mwalimu Ajira Mpya Serikalini 2025. Nimeingia tu naona Mshara wangu Kizibo Afu Mahitaji Yangu Ni mengi sana. Naomba Ushauri, Nijishugulishe na Kitu Gani Kingine Ambacho kitaniongezea Kipato Changu. Naomba Ushauri wenu.