L Logik Member Joined Jan 17, 2012 Posts 32 Reaction score 4 Feb 7, 2014 #1 Habari, ninakija wangu nataka ajifunze lugha ya kiiengereza kwa ufasaha, sasa nilisikia kupitia Cloud radio kuna mwalimu anaitwa simba, kama kuna mtu ana taarifa zake anijuze au kama kunasehem wanafundisha
Habari, ninakija wangu nataka ajifunze lugha ya kiiengereza kwa ufasaha, sasa nilisikia kupitia Cloud radio kuna mwalimu anaitwa simba, kama kuna mtu ana taarifa zake anijuze au kama kunasehem wanafundisha