Week hii tutaanza kuwaita bado tunashortlist mko wengi sana!nafasi zilizotzngazwa na mwalimu zilikuwa kiini macho maana mpaka sasa kimya hakuna jipya
Walisema only shortlisted candidates will be contacted.Nafasi zilizotangazwa na mwalimu commercial bank zilikuwa kiini macho? maana mpaka sasa kimya hakuna jipya!
FNB zilikuwa uzushi, Diamond Trust wameshaita, I & M wameshaita.! Canara endelea kusubiri bado hawajaita wanakamilisha registration kwanza za bank.FNB, Diamond Trust Bank, ‘Canara’,I &M wote hawa nawasubiria sijakata tamaa.
Kwa stage ya kabla hujaitwa interview ni ngumu sana., ila ukiitwa interview mfano kutoka written kwenda oral au oral kwenda kuitwa kazini kampuni nyingi huwataarifu wote waliopata na waliokosa..!! Pia kazi za benki ni bahati nasibu sana Mkuu,Nadhani kampuni zibadilishe utaratibu, endapo mtu akikosa angalau ajulishwe kupitia hata sms, mail n.k.