Habari zenu wanajamvi, kunahitajika mwalim wa nursery school mwenye sifa zifuatazo;
1.Jinsia ya kike
2.Awe ni mzoefu
3.Awe Dar esalaam
4.Awe muislam kwasababu mazingira ya shule, watoto na maadili ya watoto ni ya kiislam.
Mwenye sifa au anayemjua mwenye sifa hizo tuwasiliane.
0757610154