Mwalimu anaesubiri ajira awe mke

Mwalimu anaesubiri ajira awe mke

Bado..sijapata
 
Wadau natafuta mwalim Mwenye degree anaesubiri ajira awe mke..
Sifa..
1. Awe mrefu
2. Msabato
3. Preferably msabato awe below 28

Mimi nakaa dar elim yangu degree , nafanya kazi serikalini na niko dar
hehheheheh basi tena jaman dini imenikimbizaa
 
Wadau natafuta mwalim Mwenye degree anaesubiri ajira awe mke..
Sifa..
1. Awe mrefu
2. Msabato
3. Preferably msabato awe below 28

Mimi nakaa dar elim yangu degree , nafanya kazi serikalini na niko dar
safi sana mkuu nimeipenda hiyo awe msabato usije pikiwa nguruwe na sungura bure
 
Siku hizi mademu walimu wanasoko sana, maana naona ni kujiandaa na ile ndoto ya urais tu.
Alianza Mr Msoga akafuatia Mr Chato😛
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Similar Discussions

Back
Top Bottom