Mwalimu ajichinja koromeo hadi kufa

Hivi huyo mwalim ana matatzo gani au kulikua na mengine yamejificha tusio yajua?
Usipomkuta mkeo ndo ujiue?

Hata simu huna ya kumpigia unajua kapata tatzo gani,
Kiufupi bila kupata taarifa za upande wa pili hii habari haija balance
 
Ni kweli unachosema shida watu wakishapendana hawaangalii kesho matokeo mabaya ya tabia zao wanaanza kubebesha wengine. Bila shaka wewe ni mtaalam wa saikolojia
 
Watu wanachinjwa lakini mwalimu kajichinja mwenyewe

Ova
 
mbona amejichinja hizi tarehe za mishahara jamani,
R.I.P Mfa NA poleni WAFIWA
 
Ko kakuta mke wake kaenda sokoni kaamua kujichinja!!
Akili za walimu mnazijua wenyeweR.I.P
 
Jamaa alikuwa na roho ngumu, hivi maisha yalivyo matamu , unaanzaje kukatisha uhai wako kwa sababu za kipuuzi.
 

Mratibu elimu kata ana utaalum gani kujua aliyechinjwa na aliyejichinja? , aliyeuliwa kwanza na baadaye kujinchinjwa?.

Ana mamlaka gani kisheria kutangazia umma kwamba huyu kachinjwa?. Inatosha kwake kusema kuwa mwl kafariki.
 
kwani ticha alivurugwa na nini hadi akaamua kuchukua maamuzi mkononi?
Mleta mada sijui alikuwa anakimbia. Kifupi ni kwamba chanzo ni mzozo Wa kifamilia ambapo mke Wa marehemu alikwenda kumshitaki mumewe polisi kwamba hatunzi familia, jambo hili lilimuudhi mwalimu na kuamua kujichinja koromeo huku akijitazama kwenye kioo. Mazishi yake ni Leo hapa Mafinga maana marehemu ni Mhehe.
 
jf imepungua great thinkers sio kama zamani watu wanakurupuka tu kupost sijui ni madogo wa fb wamevamia huku!
 
Acheni kashfa hizo za kuwatukana walimu akati ndo waliowatoa ujinga binafsi me naona Mwalimu alichukua uamzi huo kwa vigezo maalumu anavyojua yeye Mimi na wewe hatujui kilichomsibu
 
No daraja,no nyongeza, bado mke anakuzingua, du....madeni kibao
 
Acheni kashfa hizo za kuwatukana walimu akati ndo waliowatoa ujinga binafsi me naona Mwalimu alichukua uamzi huo kwa vigezo maalumu anavyojua yeye Mimi na wewe hatujui kilichomsibu
Wewe nae una akili za kimwalimu kuna vigezo gani vinataka mtu ajinyonge au kujiua?

Hebu nitajie vigezo vya kujinyonga nivijue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…