Likitoka hili litakuja jingine tu....hivi unawajua CCM weyee???
Inteligensia ya CDM itafanya kazi yake mapema !!
Sasa hivi ni mwendo wa PANGA PANGUA mpaka 2015!!
Mhudumu ongeza kinywaji!!!
Inteligensia ya CDM itafanya kazi yake mapema !!
Sasa hivi ni mwendo wa PANGA PANGUA mpaka 2015!!
Mhudumu ongeza kinywaji!!!
Aje achukue tu nina nini cha kupoteza kama ubunge wetu tumerudishiwa
Dena Amsi ni mke wangu halali huyo mwingine anayejiita anamtaka Dena Amsi ana mashetani ya kikwao na inabidi akapelekwe kwa mchungaji au padri yakaombewe haswa Erickb52 sweetlady we yaache tuu wala usiyatafute yanamalizwa kimya kimya wala hakuna ajuaye mwanzo wala mwisho na mimi na sweetlady tunaimba kwaya pamoja na tunaenda mazoezi pamoja so usiwe na shaka Baba V