Mwakyembe Wacha unafiki! Uthibitisho ulionao peleka Mahakama ya Mafisadi Lowassa ahukumiwe

59e481c6dd8d808fb9a236189ef0de87.jpg

Watanzania tumeishazoea mauongo yenu. mnatuona sisi mafala sana. Mlifungua mahakama ya mafisadi kwa mbwewe mpaka leo hakuna lolote lililofanyika juu ya mafisadi ambao mnashinda nao na kucheka nao.

Watanzania tungekuelewa kama uo uthibitisho ungeupeleka mahakama ya mafisadi.

Bunge unawezaje kulithibitishia kama sio kutupotezea muda kama mlivyofanya 2008? Watanzania mafisadi tunawajua tena na wewe ukiwemo.

Je, Ukishalithibitishia bunge kuwa lowassa ni fisadi, sisi Watanzania tutanufaika na nini? Pesa alizokwiba atarudisha? Bunge litamhukumu?

Acha utoto aseee. Peleka uthibitisho wako Mahakamani. Au mpelekee mtumbua majipu amtumbue kama anaubavu.
Hah hah acha kutoa mapovu.Mwakyembe kawambia pelekeni hoja bungeni ya kuirudisha Richmond nyie mnasema mahakama,na mwenyewe si yupo kama mwanaume kweli aende mahakamani kwa kuchafuliwa jina na kamati ya Mwakyembe,ndio sio nyie mnamusemea ,mjiuzuru yupo hai na anadunda yeye ndie aende mahakamani na sio Mwakyembe au Nasari airudishe bungeni hoja ya Richmond ,acheni kuzunguka mbuyu na kutafuta mchawi wakati mchawi mne wenyewe.Chukulia hivi mtu akakuita wewe jambazi,kama sio jambazi si utaenda kushitaki kwa kuchafuliwa jina au utakaa kimya na yule anayekuita jambazi ndie ataenda kukushtaki mahakamani,yeye keshakuita jambazi sasa wewe ndie uende mahakamani kuthibisha kuwa wewe sio jambazi na sio aliyekuita jambazi.
 
Kwanini kama taifa tuwe tunaenda mbele na kurudi nyuma?? Huko bungeni lilishapita,sasa tulitegemea wahusika wapandishwe kizimbani wakajibu tuhuma za kulihujumu taifa.

Ghafla mnasema mahakama ya mafisadi imekosa mashauri.. Khee??
 
59e481c6dd8d808fb9a236189ef0de87.jpg

Watanzania tumeishazoea mauongo yenu. mnatuona sisi mafala sana. Mlifungua mahakama ya mafisadi kwa mbwewe mpaka leo hakuna lolote lililofanyika juu ya mafisadi ambao mnashinda nao na kucheka nao.

Watanzania tungekuelewa kama uo uthibitisho ungeupeleka mahakama ya mafisadi.

Bunge unawezaje kulithibitishia kama sio kutupotezea muda kama mlivyofanya 2008? Watanzania mafisadi tunawajua tena na wewe ukiwemo.

Je, Ukishalithibitishia bunge kuwa lowassa ni fisadi, sisi Watanzania tutanufaika na nini? Pesa alizokwiba atarudisha? Bunge litamhukumu?

Acha utoto aseee. Peleka uthibitisho wako Mahakamani. Au mpelekee mtumbua majipu amtumbue kama anaubavu.
Aliona bora amkabidhi Slaa pale hotelini kuliko kupeleka mahakamani. Na sasa bora aseme huo ukweli sababu serikali aliyo hofia itaanguka haipo tena.
 
watu ni wanafiki sana!! badala ya kulaumu alieleta suala hilo bungeni tena wanalaumu mwakyembe aliejibu hoja na kuomba kama kuna mtu hajaridhika arudishe hilo suala hili yeye atoe kila kitu.
 
59e481c6dd8d808fb9a236189ef0de87.jpg

Watanzania tumeishazoea mauongo yenu. mnatuona sisi mafala sana. Mlifungua mahakama ya mafisadi kwa mbwewe mpaka leo hakuna lolote lililofanyika juu ya mafisadi ambao mnashinda nao na kucheka nao.

Watanzania tungekuelewa kama uo uthibitisho ungeupeleka mahakama ya mafisadi.

Bunge unawezaje kulithibitishia kama sio kutupotezea muda kama mlivyofanya 2008? Watanzania mafisadi tunawajua tena na wewe ukiwemo.

Je, Ukishalithibitishia bunge kuwa lowassa ni fisadi, sisi Watanzania tutanufaika na nini? Pesa alizokwiba atarudisha? Bunge litamhukumu?

Acha utoto aseee. Peleka uthibitisho wako Mahakamani. Au mpelekee mtumbua majipu amtumbue kama anaubavu.
Kwani yeye ndio anatakiwa kushitaki mbona mnarusha shutuma za ajabu tu
 
59e481c6dd8d808fb9a236189ef0de87.jpg

Watanzania tumeishazoea mauongo yenu. mnatuona sisi mafala sana. Mlifungua mahakama ya mafisadi kwa mbwewe mpaka leo hakuna lolote lililofanyika juu ya mafisadi ambao mnashinda nao na kucheka nao.

Watanzania tungekuelewa kama uo uthibitisho ungeupeleka mahakama ya mafisadi.

Bunge unawezaje kulithibitishia kama sio kutupotezea muda kama mlivyofanya 2008? Watanzania mafisadi tunawajua tena na wewe ukiwemo.

Je, Ukishalithibitishia bunge kuwa lowassa ni fisadi, sisi Watanzania tutanufaika na nini? Pesa alizokwiba atarudisha? Bunge litamhukumu?

Acha utoto aseee. Peleka uthibitisho wako Mahakamani. Au mpelekee mtumbua majipu amtumbue kama anaubavu.

Kweli Watanzania walipoteza pesa, na Richmond ilikuwa jipu. Ni kweli Lowassa alikuwa mmojawapo aliyehusika. Tatizo ni kwamba, ukimpeleka Lowassa kortini lazima waandamane na Kikwete,. You cannot convict Lowassa without Kikwete, Ndiyo maana haitatokea Lowassa kupelekwa kortini, swala hili tunapoteza wakati. Let us change the constitution so that the President also must take responsibility. Rais wa South Korea yuko mahabusu akingojea kusomewa mashitaka.
 
sio chadema ndo wampeleke? au walitumia criteria gani kumuweka kwenye list of shame

HIYO NI KAZI YA CHADEMA KWA MUJIBU WA SHERIA NAMBA NGAPI? ACHENI USHABIKI WA KIPUMBAVUE KATIKA MASUALA MUHIMU YANAYOWAATHIRI MAISHA YENU NA YA WATOTO WENU.
 
59e481c6dd8d808fb9a236189ef0de87.jpg

Watanzania tumeishazoea mauongo yenu. mnatuona sisi mafala sana. Mlifungua mahakama ya mafisadi kwa mbwewe mpaka leo hakuna lolote lililofanyika juu ya mafisadi ambao mnashinda nao na kucheka nao.

Watanzania tungekuelewa kama uo uthibitisho ungeupeleka mahakama ya mafisadi.

Bunge unawezaje kulithibitishia kama sio kutupotezea muda kama mlivyofanya 2008? Watanzania mafisadi tunawajua tena na wewe ukiwemo.

Je, Ukishalithibitishia bunge kuwa lowassa ni fisadi, sisi Watanzania tutanufaika na nini? Pesa alizokwiba atarudisha? Bunge litamhukumu?

Acha utoto aseee. Peleka uthibitisho wako Mahakamani. Au mpelekee mtumbua majipu amtumbue kama anaubavu.
Wewe ni nani unajiita Watanzania? Nani kakutuma kwamba "tumechoka" na uongo "wenu", uongo upi huo? Lowassa ni fisadi, alitajwa na Chadema miakac7 (kwa nini msimpeleke mahakamani?). Kamati ya Bunge ya CCM haikutaka kumwaibisha kada wake, na nchi haikutaka kuanika madudu yake kimataifa, Bunge likampa nafasi Lowassa ajiuzulu au uozo wakecuanikwe. Akajiuzulu kwa sababu anajua ushahidi uliokuwapo. Nassari kusema hakupewa nafasi ya kujitetea haeleweki mbona Ukawa hawakumpa nafasi ya kujiterea? Dr Slaa na Prof Lipumva walitaka apewe nafasi ya kujieleza akanushe madai ajisafishe. Hakufanya hivyo. Sasa mnaropoka humu kutaka Mwakyembe ajiuzulu maana yake ni nini wapi na wapi.
 
59e481c6dd8d808fb9a236189ef0de87.jpg

Watanzania tumeishazoea mauongo yenu. mnatuona sisi mafala sana. Mlifungua mahakama ya mafisadi kwa mbwewe mpaka leo hakuna lolote lililofanyika juu ya mafisadi ambao mnashinda nao na kucheka nao.

Watanzania tungekuelewa kama uo uthibitisho ungeupeleka mahakama ya mafisadi.

Bunge unawezaje kulithibitishia kama sio kutupotezea muda kama mlivyofanya 2008? Watanzania mafisadi tunawajua tena na wewe ukiwemo.

Je, Ukishalithibitishia bunge kuwa lowassa ni fisadi, sisi Watanzania tutanufaika na nini? Pesa alizokwiba atarudisha? Bunge litamhukumu?

Acha utoto aseee. Peleka uthibitisho wako Mahakamani. Au mpelekee mtumbua majipu amtumbue kama anaubavu.
HIYO NI KAZI YA CHADEMA KWA MUJIBU WA SHERIA NAMBA NGAPI? ACHENI USHABIKI WA KIPUMBAVUE KATIKA MASUALA MUHIMU YANAYOWAATHIRI MAISHA YENU NA YA WATOTO WENU.

usichojua na niwatoe tongotongo

CCM karibu yote ni corrupt!! kumshtaki Lowassa ni sawa na kujishtaki wao maana hakuwa peke yake!!

huyu mwizi ambaye yuko cdm ana genge la wenzake alioba nao ccm, hawawezi kumshtaki

CDM isingekuwa na huyu mwizi Lissu angempeleka hiyo mahakama, as a result pande zote mko kimya

kutopelekwa mahakamani kwa Lowassa hakumfanyi kuwa msafi hata kidogo
 
Hah hah acha kutoa mapovu.Mwakyembe kawambia pelekeni hoja bungeni ya kuirudisha Richmond nyie mnasema mahakama,na mwenyewe si yupo kama mwanaume kweli aende mahakamani kwa kuchafuliwa jina na kamati ya Mwakyembe,ndio sio nyie mnamusemea ,mjiuzuru yupo hai na anadunda yeye ndie aende mahakamani na sio Mwakyembe au Nasari airudishe bungeni hoja ya Richmond ,acheni kuzunguka mbuyu na kutafuta mchawi wakati mchawi mne wenyewe.Chukulia hivi mtu akakuita wewe jambazi,kama sio jambazi si utaenda kushitaki kwa kuchafuliwa jina au utakaa kimya na yule anayekuita jambazi ndie ataenda kukushtaki mahakamani,yeye keshakuita jambazi sasa wewe ndie uende mahakamani kuthibisha kuwa wewe sio jambazi na sio aliyekuita jambazi.
Mbna Makonda anaitwa bashite hajaenda kushtaki?
 
Nashangaa kwanini hata wabunge hawakumtaka kufanya hivyo,si walisema wanafungua mahakama hii kwaajiri ya majizi yaliyo ndani na nje ya ccm sasa ushahidi unao kinakusubirisha ninu
 
usichojua na niwatoe tongotongo

CCM karibu yote ni corrupt!! kumshtaki Lowassa ni sawa na kujishtaki wao maana hakuwa peke yake!!

huyu mwizi ambaye yuko cdm ana genge la wenzake alioba nao ccm, hawawezi kumshtaki

CDM isingekuwa na huyu mwizi Lissu angempeleka hiyo mahakama, as a result pande zote mko kimya

kutopelekwa mahakamani kwa Lowassa hakumfanyi kuwa msafi hata kidogo
Sasa kutupotezea muda kumuongelea bungeni kutatusaidia nini?
 
Mzigo wa mavi mtahangaika nao sana, na mbowe hataki kuutua.
Wanaangaika akina Mwakyembe na timu yake. Lowasa au Mavi unavyomwita, alikuwa nje ya system tangu 2011 hivyo serikali ya CCM ilikuwa na uwezo mkubwa kumshtaki. Kama serikali hii inaweza kuwachukua wabunge toka Dodoma kwenye vikao (Lisu, Lema na Bulaya) ilishindwa vipi kumkamata huyo fisadi kwa miaka yote hiyo mpaka anakuja kugombea urais? Kama yeye ni mavi basi yamewaathiri akina Mwakyembe mpaka hawajui waseme nini? Alijiuzuru ili ashtakiwe lakini hakuwekwa hata rumande kwa saa, kwa nini????????? Mihemko ya vyama itue ujiulize Richmond wanalipa akina nani kama siyo wenye vyama na wasiovijua kama sisi lakini tunalipa yawezekana zaidi yako wewe unayemuita wenzio mavi kana kwamba wewe huendi chooni.
 
Uthibitisho Mh. Mwakembe aliutoa bungeni na hukumu ikatolewa ikawa ndio mwisho wa kesi. Kuupeleka mahakamani ingetokea kama Bunge lingeamua kuwa pamoja na kuvuliwa uwaziri mkuu pia aburuzwe mahakamani. Sasa huyu Nasari alipoibua upya suala la Lowasa na Richmond ndio Mwakembe kasema ikiwa Nasari au mbunge yeyote atapeleka hoja bungeni ili kashfa ijadiliwe upya basi yeye Mwakyembe atatoa ripoti upya na bunge litoe uamuzi upya. Ila Mwakembe anaamini Lowasa hatapona itakuwa aibu na adhabu squared. Tusubiri mwenye moyo wa kishujaa apeleke hoja bungeni
Mimi binafsi bado nonaona kuwa serikali ilioko madarakani INA usanii mwingi sana katika kuiba fedha zetu. kwa ukiachilia mbali kashfa ya ricjmound zimepita zingine nyingi. meremeta, escrow, bomba LA gesi nk. hakuna aliechuliwa hatia yoyote. kinachoonekana ni kuwa wakubwa wakiingia madarakani wanatafuta style ya kupiga madeal ktk namna ambayo haiathiri maslahi. na wachache wanatolewa kafara kwa kutajwa na kuchafuliwa majina yao kwa masharti kuwa hawadhuriki zaidi ya kutajwa majina tuu. Mungu atusaidie tuje kupata kiongozi mzalendo hapo baadae
 
kwani mahakama mpya za mafisadi zimefungwa? kama anauthibitisho si apeleke mahakamani ili kama Lowassa ana hatia hatua sitahiki zichukuliwe dhidi yake
 
Kunahitajika mfumo imara wa kuwapata na kuwadhibiti viongozi wa kitaifa badala ya siasa uchwara. Haiwezekani na haikubaliki kuwa na ushahidi wa kutosha wa ufisadi dhidi ya mtu fulani, tena ndani ya bunge, halafu mtu huyo asishitakiwe na zaidi ya hilo aruhusiwe kugombea urais.
Hapa kuna kuna uwezekano wa mambo mawili, maelezo ya uongo au viongozi wote wa kitaifa walioficha ushahidi ni wapuuzi wasiofaa kwa mustakabali mwema wa taifa.
 
Sisi tunataka Lowassa apandishwe kizimbani jingalao..

Hii tabia ya Mwakyembe kuendelea kutafuta kiki kupitia hilo sakata la Richmond bila kuwashughulikia watuhumiwa ni ujinga na unafiki!

ona aibu kutetea zigo la mavi, ni kama unamwona mama yako kichaa yuko uchi badala ya kugeuka ukae kimya, unakimbilia kumwangalia na kumvalisha nguo ona aibu

fisadi huyu aliyeko chadema ana tabia sawa kabisa na mafisadi walioko ccm, hwawezi kufunguliana mashtaka!!
 
Kunahitajika mfumo imara wa kuwapata na kuwadhibiti viongozi wa kitaifa badala ya siasa uchwara. Haiwezekani na haikubaliki kuwa na ushahidi wa kutosha wa ufisadi dhidi ya mtu fulani, tena ndani ya bunge, halafu mtu huyo asishitakiwe na zaidi ya hilo aruhusiwe kugombea urais.
Hapa kuna kuna uwezekano wa mambo mawili, maelezo ya uongo au viongozi wote wa kitaifa walioficha ushahidi ni wapuuzi wasiofaa kwa mustakabali mwema wa taifa.

mkuu wote wezi hawa, sio lowassa sio hao ccm
 
Back
Top Bottom