Mwakyembe 'murder' plot under investigation

Hii kali nadhani mr anaweka chachu ili jamaa aanike alivyopata habari
 
Mungu wasamehe kwani madhara ya watendayo nadhani wanajidanganya hawayafahamu...!!
 
Hili ni Tangazo la vita. tujiandae> Bomu linatik!tik!tik!tik!
Nguvu ya umma: tayari tayari. Wakifa hao JWTZ yote ikamlinde JK popote!!
 
[h=2]90 % ya viongozi wetu wenaugua magonjwa sugu , wanashindwa kufanya maamuzi[/h]
Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo ukimwi.mch ambilikile mwasapila (babu) aliwalaghai vigogo wa serikali na serikali yote kuamua kuelekea huko.
Magonjwa sugu yaliyotajwa ni:
1.ukimwi
2.kisukali
3.pressure
4.
5.
Taarifa za daktari zinaonyesha kuwa watu wenye magonjwa sugu huwa wanhasira kali na kushinda kufanya maamuzi magumu na kukosa mipango endelevu. Wanauza mali hovyo na kutapanya rasilimali

pamoja na kwamba dawa ya babu haitibu ukimwi lakini amefanikiwa kutupatia takwimu za ukweli kuhusu mtandao wa magonjwa sugu kwa viongozi wetu ambapo wametumia ndege kwenda loliondo na magari ya serikali.
Ni dhahili kuwa viongozi wetu wanao tuongoza ni wagonjwa wa magonjwa sugu kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi mazito na mipango ya maendeleo y mda mrefu.

Viongozi wetu wanahofu ya kufa kutokana na magonjwa yao na ndio maana wanauza madini, wanauza ardhi, wanauza wanyama hai mapema ili kukusanya pesa mapema.
Wengi tunajua mtu akiwa na hofu ya kufa kutokana na ukimwi huwa anauza mali hovyo hovyo na maamuzi yake siyo mazuri.

Mfano mzuri ni maamuzi ya kulipa dowans , jambo ambalo ni dhahili kwamba wanaofanya hivyo hawana mipango mirefu ya maisha katika taifa hili.
Viongozi wa ccm wanakata kuachia madaraka kwa watu wengine wakihofia hatima yao baada ya kuuza nchi na wanyama nje ya nchi. Wametapanya mali hovyo kwasababu hawana mawazo mazuri, wanang'ang'ia madaraka na kutaka watoto wao walithishwe urais , ubunge, na uwaziri ili kulinda uhalifu waliofanya.wanahaha kuiba kura ili waonekane wanapendwa na wananchi.


Mgogoro uliotokea libya ni sawa na mgogoro utao tokea tanzania 2015.
Huko libya gadafi alitaka kuachia madaraka mikononi mwa watoto wake ambao nao wamejilimbikizia mali lakini raia wema wakamuonya lakini hakusikia.


Hapa tanzania kuna juhudi kubwa za watawala wetu kutaka kurithisha madaraka kwa watoto wao ambao wamejirimbikizia mali katika vituo vya mafuta, migodi , maliasili, wameuza ardhi na sasa wanahaha kuiba kura.!!!!

Kuna harakati kubwa kwa watu ambao wametuhujumu , wametuibia , wametunyonya na sasa haohao ndio wameunda mitandao ya urais 2015. Wanatumia fedha walizotuibia kutuhonga ili tuwape kura. Wanatumia pesa hizo kuwahonga wachungaji, wamewanunua wachungaji na kufanya kampeni makanisani.


Watu hawa wakiugua tu utasikia walalahoi wanalalamika na kupiga kelele kuwa wamepewa sumu lakini safari ya loliondo walikwenda bila mtu kulalamika.wanasafiri kwenda india kutibiwa baada ya loliondi kupoteza umarufu lakini wanapo ondoka hawasemi wanaumwa nini !!!!!! Mauaji ya albino yanaongezeka ushirikina huku serikali ikiongeza kasi ya kutoa vibali kwa waganga .waliopo kwenda loliondo hawakusema wanaumwa nini!!! Lakini safari ya india ina maneno mengi


ni bora mbunge ,waziri, vigogo wanapougua waangalie ukweli wa afya yake sio kusingizia sumu .

Pia hapa kuna ubaguzi mpiga kura akiugua anafia nyumbani bila kufika hata dispensary, na hata akienda huko anakosa dawa.

Wajawazito wametengewa bajaji ambazo bado zinasuasua.

Waziri akiugua anakimbizwa haraka kwenda india na anagharimiwa fedha nyingi inayo weza kutibua zaidi ya walalahoi 100 hapa!!!

Wakati wa kupiga kura wabunge wanapiga magoti kuomba kura, wakimunyima anachakachua!!! Je, ni haki????​
 
Tumefika pabaya! Kama hii mipango inafanywa na watanzania dhidi ya watanzania wenzao, sura ya nchi imeshaharibika. Naogopa kusema nini kitafuatia.

Usiogope sana kuna mambo yatatokea yakuwashangaza hawa waovu nao watabaki wakijiuliza ilikuaje hata tukakosea hapa hadi kujiangamiza wenyewe? Mwamini Mungu binadamu ni nani hata akutishe? Huyo hana uhakika hata na sekunde inayofuata kwani kwakupaliwa tu na mate aweza salimisha roho yake kwake aliyemwazima kwa muda tu. Herode baada ya kuua manabii wengi akajiambia mwenyewe sasa yeye amekuwa sawa na Mungu na akajiandalia karamu kubwa yakujitukuza, haikupita siku mnyoo tuu ukamwondoa! Usicheze na kitu kinachoitwa uhai wa mwanadamu damu yake haifi hata siku moja na inadai milele!
 

Isn't it the case for Malima and Kombe also? or names without certain privileges are worth not mentioning?
 
Reactions: Ame
Sasa tumefika pabaya tunaanza kuamini kulogana mbona hali imekuwa namna hii wachawi wanapewa
nafasi ya kuwajadili kwa hiyo basi wagonjwa wote waliolazwa wamepewa sumu na kulogwa ???? yuko
wapi huyu mganga nimpe kazi anilogee kakobe na mama lukatare ukiona mtu anawaamini wachawi ujue
na ni mchawi mkubwa
 
Guys you can count on my words that "answers will never be brought out"
 

Kwanza nauombea apate uzima na kurudi nyumbani kwa ndugu na familia ,binadamu misukosuko katika maisha ndiyo tumeumbiwa nayo kwahiyo si vizuri kumfurahia mmoja wetu anapopatwa na misukosuko kama yake .lakini basi hapa leo nitapenda kukumbusha nini niliwahi kusema pale mara alipopata ajali na yeye akaeleza binafsi nini kilikuwa na polisi wao wakaja na mengine kwa kifupi nilisema kuwa wabaya wake wamefanya makosa katika mtego huu ameponea chupu chupu kuaga dunia lakini nikasema kuwa wabaya hao hao hawatafanya makosa kama hayo kwa mara ya pili wata hakikisha wamekamilisha dhamira yao juu yake na leo ndio tunashuhudia ,pole Mungu atakusaidia .
 
Isn't it the case for Malima and Kombe also? or names without certain privileges are worth not mentioning?

At least u guys are now coming back to ur senses! Lichama limezeeka hili tutazame jinsi ya kujenga vyama vitakavyoendana na matakwa yetu ya sasa. Waanzilishi na members wake wote wako off the time tuungane kuwaondoa hawa ila tuwahakikishie usalama wa maisha yao kwakuwaandalia certain future; They where gud to us lakini sasa wamezeeka pamoja na ideologies zao.
 
Tatizo hata polisi wetu wako chini ya chama, huo uchunguzi hauwezi kuwekwa wazi hata siku moja labda kama waliofanya hayo mambo ni chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ