Mwakyembe apinga katiba mpya,

Ukwaju kama aliweza kulikana andiko lake aliloandika wakati akiwa Mhadhiri kwa nini ushangae ugeu geu wake??
 
Ukwaju kama aliweza kulikana andiko lake aliloandika wakati akiwa Mhadhiri kwa nini ushangae ugeu geu wake??
ameshatulia na anajua Urais hawezi kuupata
kapata madhara mengi sumu aliyoigusa akanyonyoka, kufiwa, kashfa ya mabehewa
hivyo anajua hana lake ajipumzikie, kuna Vijana wamemkaba Jimbo lake
 
Wewe ni kasuku au nyumbu tu. Hivi katiba mpya ndio shida kubwa ya tanzania? Katiba hii unafikiri ndio inainyima chadema au upinzani kuingia madarakani? Wajinga tu ndio wanafikiri tatizo la upinzani kutoshinda uchaguzi ni katiba. Wanafikiri inaweza kuja katiba ya kuipiga marufuku ccm au kua na kifungu 'chama kimoja hakiruhusiwi kuongoza misimu miwili' etc
Wapinzani bila kujua na kwa kujua wametumiwa na maadui wa nchi na kusababisha hasara ya mabilioni kwa kulazamisha bunge la katiba ambapo pale mabwana zao walipoona wanachotaka ambacho ni kuvunja muungano hakitatokea wakaelekezwa wasusie. Hivi sasa wanadai katiba mpya kama njia ya kukifuta chama pendwa cha mapinduzi...ni ndoto ya mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…