Tatizo misukule huwa mnanukuu neno moja badala ya kusikiliza sentensi nzima
Kweli nimeamini ule usemi wa kijana ukiwa CHADEMA hata kama uwe msomi ni lazima akili uziweke "masaburini".
mwakyembe amevurugwa teyari..chezea sumu ww
Ni kweli kabisa manake siku hizi ma Dr wanaingia humu kuandika matapishi tu
Nimeamini usemi wa msigwa kuwa ukiwa ccm hata kama wewe ni profesa au dr. Lazima akili uziweke mfukoni, dr. Mwakyembe asema hakuna haja ya kuwa na katiba mpya,wakati akitoa mada, chuo cha tumaini iringa
Kwa ufupi aliwakataza waandishi wa habari kuingia ndani, akaanza kumwaga pumba, eti anawashangaa watz kuandamana kisa katiba mpya wakati siyo suluhisho kwa nchi masikini binafsi nikaamini ccm wote wanafiki watupu!
mwakyembe amevurugwa teyari..chezea sumu ww
Nimeamini usemi wa
msigwa kuwa ukiwa ccm hata kama wewe ni profesa au dr. Lazima akili
uziweke mfukoni, dr. Mwakyembe asema hakuna haja ya kuwa na katiba
mpya,wakati akitoa mada, chuo cha tumaini iringa
Kwa ufupi aliwakataza waandishi wa habari kuingia ndani, akaanza kumwaga
pumba, eti anawashangaa watz kuandamana kisa katiba mpya wakati siyo
suluhisho kwa nchi masikini binafsi nikaamini ccm wote wanafiki
watupu!
Hii kali jamaniiiiii.umeserukambwa wewe, siyo bure!
Could he really do that? If he did, basi hajapona. Anahitaji uchunguzi zaidi wa afya yake.Nimeamini usemi wa msigwa kuwa ukiwa ccm hata kama wewe ni profesa au dr. Lazima akili uziweke mfukoni, dr. Mwakyembe asema hakuna haja ya kuwa na katiba mpya,wakati akitoa mada, chuo cha tumaini iringa
Kwa ufupi aliwakataza waandishi wa habari kuingia ndani, akaanza kumwaga pumba, eti anawashangaa watz kuandamana kisa katiba mpya wakati siyo suluhisho kwa nchi masikini binafsi nikaamini ccm wote wanafiki watupu!