C COSTOMER Member Joined Feb 24, 2012 Posts 70 Reaction score 9 Apr 17, 2012 #1 katumia busara, kaona lugha shida akaamua ajiweke pembeni.
C COSTOMER Member Joined Feb 24, 2012 Posts 70 Reaction score 9 Apr 17, 2012 Thread starter #2 duh huyu mdogo wake ghalib bilal amejitokeza kugombea wanafanana mbaya....
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Apr 17, 2012 #3 Toa ufafanuzi ili tumjue ni nani, amejitoa katika hatua gani na kwasababu gani.
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,812 Reaction score 5,526 Apr 17, 2012 #4 Ni kweli niko jf au?
ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,385 Reaction score 8,648 Apr 17, 2012 #5 Mbona mnatupa habari nusunusu, wengine tuko mbali na TV COSTOMER said: katumia busara, kaona lugha shida akaamua ajiweke pembeni. Click to expand...
Mbona mnatupa habari nusunusu, wengine tuko mbali na TV COSTOMER said: katumia busara, kaona lugha shida akaamua ajiweke pembeni. Click to expand...
M mkonomtupu JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 441 Reaction score 119 Apr 17, 2012 #6 Kwa kifupi kulikuwa na mgombea wa CUF kutoka Mbeya. Jina silikumbuki alishindwa kabisa kujieleza kwa Kiingereza kabisa nakuishia kusema ninanukuu "my profession is a politician" Mwisho wa kunukuu. Hivyo mdada wa watu akachomolea Hapo
Kwa kifupi kulikuwa na mgombea wa CUF kutoka Mbeya. Jina silikumbuki alishindwa kabisa kujieleza kwa Kiingereza kabisa nakuishia kusema ninanukuu "my profession is a politician" Mwisho wa kunukuu. Hivyo mdada wa watu akachomolea Hapo
M MIRIJA IKATWE Senior Member Joined Oct 21, 2011 Posts 136 Reaction score 12 Apr 17, 2012 #7 du imekaaa poa lakini nchi hii si ya kiswahili jamani wangemruhusu tu
Barubaru JF-Expert Member Joined Apr 6, 2009 Posts 7,161 Reaction score 2,329 Apr 17, 2012 #8 COSTOMER said: duh huyu mdogo wake ghalib bilal amejitokeza kugombea wanafanana mbaya.... Click to expand... Pasi na shaka ni Dr Said Bilal huyo.
COSTOMER said: duh huyu mdogo wake ghalib bilal amejitokeza kugombea wanafanana mbaya.... Click to expand... Pasi na shaka ni Dr Said Bilal huyo.
K katalina JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 262 Reaction score 56 Apr 17, 2012 #9 Topic nzuri lakini haijashiba. Anaitwa nani, kasema nini, kashindwa nini na kwanini kajitoa.