awali ni awalihalafu hao sumatra na ewura wanafanya kazi gani mbona dala dala zinatamba kama hakuna kitu kama hicho, aidha, vituo vya kuuza mafuta vinagoma kama hakuna sheria !!! Au kutafutiana ajira na mishahara minono kwa vyeo vya ceos !!
awali ni awali
tumpe kura zooote za ndiyo pindipo
[/QUOTE]kweli wametoka mabali ni hizi siasa za hii nchi lakini huyu jamaa naye ni kichwa
View attachment 196867
.ndio tena kabisaKUWA CCM kunamtoa UFAHAMU?
amefanya nini nchi hii hadi awe kichwa,we nipe sifa zake kidogo maana kama EL tuliona utendaji wake wa kazi japo alikuja kukutana na za uso toka richmond
_
_nitarudi