comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,422
- 17,163
Njaa kali wew unawaza kuzipiga,ina maana hyo njaa wew haikufikii au wew ndo Abdul mwenyew
Yan ingekua Mimi ndio mama samia ningetawala kama mugabe had nichokeSafi ,watanzania wamezoea shida ,nilifika kigoma mtu anasifia tumbo lake kuwa ni zuri kwa kunywa maji ya dimbwi na mifugo, Mama samia mbele kwa mbele mpaka akili ziwakae sawa gademiiit
Ukiwa na akili za kifisadi hii nchi hufi njaaNjaa kali wew unawaza kuzipiga,ina maana hyo njaa wew haikufikii au wew ndo Abdul mwenyew
KabisaYan ingekua Mimi ndio mama samia ningetawala kama mugabe had nichoke
Najizungumzia mimi, mimi NINAZOWanaume tu ndio watabaki na hela?
Ninao 9,Wakati huo wewe utakuwa na uwezo wa kumiliki wanawake watano kwa kipato kipi mkuu?
Mwaka huu unamiliki wangapi?