Mwakalebela usitumie uyanga kuwayumbisha tff

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
507
272
Mwakalebela aache vitisho, awaache tff wafanye kazi hata yeye alipokuwa tff alishatoa adhabu nyingi, ukiwatumia yanga kufanya maamuzi ipo siku na viongozi wa simba watafanya hivyohivyo
Screenshot_20190906-090054.jpeg
 
TFF ni ya hovyo sana, ndiyo maana mpira hauendelei. Ligi haiuziki
Washukuru Voda wamerudi, wangetia ngumu, hakuna mdhamini yeyote angekubali kuwepoteza hela katika mambo ya kipumbavu.

Sheria zinatungwa za ajabu ajabu
 
Ila hiyo sheria ya mavazi nayo ina utata! Yaani vitu vidogo tu vinakuuzwa! Sasa kaptula ina tatizo gani! Mbona hata baadhi ya makocha wa ligi kuu akiwemo Ndairagije nimewaona mara nyingi wakivaa!
 
yule binti Zahra mwinyi ana vaa chupi bwana sio kaptula ngojeni ale ban ya mechi tatu
akimaliza ataacha lomolomo
 
Ila hiyo sheria ya mavazi nayo ina utata! Yaani vitu vidogo tu vinakuuzwa! Sasa kaptula ina tatizo gani! Mbona hata baadhi ya makocha wa ligi kuu akiwemo Ndairagije nimewaona mara nyingi wakivaa!
Akili za TFF zimegotea hapo.
 
Hatutakagi ujingaujinga sisi. Na hapa ndo utapojua nguvu na ukubwa Wa Yanga.
 
huyu Mwakalebela utadhani hajawahi kuwa kiongozi wa TFF anajua kabisa serikali mambo gani haipaswi kuingilia lakini anatishia kwenda wizarani
 
Yani Tanzania nchi ya ajabu sana,
Sasa Yanga mnasema mmeishtaki TFF kwa wizara mnataka mpira usiendeshwe kwa sheria ?
Mnataka uendeshwe kwa mapenzi ya Yanga na Simba au?
Eti Yanga mkilitaka jl jambo lenu hamshindwi, huu mpira gani wa kimbongo utakao endelea?
Sema mnaheri hata viongozi wa TFF wanawaogopa hao viongozi wa wizara badala ya sheria.
 
Back
Top Bottom