JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU, jembe,Rais wa mbeya wapendavyo kumuita wenyewe ni mkinga kwa kabila akiwa na asili ya mkoa wa Iringa, lakini lililo kuu na mhimu ni mtanzania halisi mwenye akili timamu mwenye maono ya kuwatumikia watz wote bila kujali rangi kabila wala ukanda.UKABILA NI MAWAZO NA SILAHA YA WATU DHAIFU WASIOELIMIKA NA DINI YAO WAOVU.
tukiacha hayo ya ukabila , nachukua nafasi hii kumuonya ndugu Mwakalebela kuachana kabisa na mpango huo , vinginevyo atapoteza hata hako kacheo ka kizushi kama ka Makonda alikokabahatisha .Kwa taarifa Mkwawa alikataa Iringa isitawaliwe na kabila nyingine zaidi ya Mhehe alijaribu Kitine ikashindikana fikiri kwanza.
JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU, jembe,Rais wa mbeya wapendavyo kumuita wenyewe ni mkinga kwa kabila akiwa na asili ya mkoa wa Iringa, lakini lililo kuu na mhimu ni mtanzania halisi mwenye akili timamu mwenye maono ya kuwatumikia watz wote bila kujali rangi kabila wala ukanda.UKABILA NI MAWAZO NA SILAHA YA WATU DHAIFU WASIOELIMIKA NA DINI YAO WAOVU.
udesi wa mwene
mkwawa mwenyewe hakua mhehe