mwakajana nilitaka kunya

siemens c25

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
217
Reaction score
45
Kunamwaka nilikuwa chuo tulipoitimu siku ya maafari tulibahatika kupata prf mmoja toka marekani mwaka uliotangulia kablayetu alialikwa lkn hakuja alipokaribishwa kuongea nasi alisimama na kuongea kwa kiswahili alisema:mwaka juzi nilitaka kunya nikaharisha,mwaka jana nilitaka kunya tena nikaharisha,mwaka huu nilitaka kuharisha nikaona hapana ngaja ninye,,,,basi ukumbi mzima tukabaki hoi kwa vicheko.
 
Lugha za watu bana ni shughuli kwelikweli! Duh! Unakuta mtu anaongea hayo madudu yuko siriaz, halafu anashangaa mnacheka nini! Mkija baadae kumweleza maana yake anasinyaa!
 

teh teh teh! Unatisha mkuu!
 
Huyo Mmarekani feki hakuna Wamarekani dizain hizo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…