Mwaka wakwanza chuo mchumba simuelewi anataka IPHONE

Mwaka wakwanza chuo mchumba simuelewi anataka IPHONE

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Girl:bby..
Boy: yec bby..
Girl: Hii simuu..
Boy: Imefanyajee?
Girl: Inazinguaa..
Boy: ina nn?
Girl: asa kila siku wananiona na
hiihii?
Boy: sasa si ndo uliyonayo?
watakuonaje na ingine?
Girl: aaaah! bby mi najickia
vbayaa..
Boy: ucjickie bebi, kwan vipii?
Girl: marafiki zang wote wana cm
nzuri, wananicheka..
Boy: usishindane naoo, wazazi
wao wana hela! naww soma
mwanetu asije kuchekwa ka
ww...sawa?
Girl: bby stakiiii....
Boy: tufanyeje ss?...........bby
Girl: namm nataka iPhone-5s, au
galaxy-s5
Boy: bby si tumekubaliana
tuvumiliane lkn? umekuaje tangu
ufike chuo?
Girl: hamna.
Boy: mi mwenyew naishi kwa
mkopo, bado cjawaza unakula nn,
iPhone mi natoa wap?
Girl: mi cjui bwana, we
mwanaume..
Boy: Mi mwanaume ndio, ila
usinifanyie ivyo mamy...mwenyew
unajua..
Girl: Poa, bas ntajua ntakoipata
mwenyewe..
Boy: kwaio husomi tena unawaza
i4n sio? we unasoma au unafanya
maonyesho ya simu?
Girl: nasoma..
Boy: sasa hiyo uliyonayo ina shida
gan? muda wa ma2miz ya sim
kwanza unatoa wap?
Girl: bby mi mtoto wa kikee..
Boy: kwaio unatakaje?
Girl: nataka niwafunike wotee..
Boy: poa, kesho tukutane twn bas
nkakununulie turubai...pumbavu
 
Hahaha sentence ya mwisho ni nzuri mpaka........nataka niwafunike wote....
Basi kesho twende nkakununulie turubai. .
 
Mmh bora tuliosoma enzi za bahasha na stamp
 
Hahahahahahaha eti, kesho tukutane town nikakununulie turubai pumbafuuu, duh hii karee aisee!
 
Hahahahaha!! Akifika 2nd semester utasikia "bby rafiki zangu wote wana magari na mimi nataka".
 
Haswaaa! tena stempu za kugush kwa kufuta muhul wa posta mana Huna uwezo wa kununua mpya
Au anayekutumia barua, kabla ya kui-post stamp inapakwa sabuni. Hapo mhuri wa Posta haukamati mwanawane, na wewe unakuja itumia uzuri kabisa....
 
Hahaaa, mwana hiyo avata yako kiboko
avatar196821_9.gif
 
girl:bby..
Boy: Yec bby..
Girl: Hii simuu..
Boy: Imefanyajee?
Girl: Inazinguaa..
Boy: Ina nn?
Girl: Asa kila siku wananiona na
hiihii?
Boy: Sasa si ndo uliyonayo?
Watakuonaje na ingine?
Girl: Aaaah! Bby mi najickia
vbayaa..
Boy: Ucjickie bebi, kwan vipii?
Girl: Marafiki zang wote wana cm
nzuri, wananicheka..
Boy: Usishindane naoo, wazazi
wao wana hela! Naww soma
mwanetu asije kuchekwa ka
ww...sawa?
Girl: Bby stakiiii....
Boy: Tufanyeje ss?...........bby
girl: Namm nataka iphone-5s, au
galaxy-s5
boy: Bby si tumekubaliana
tuvumiliane lkn? Umekuaje tangu
ufike chuo?
Girl: Hamna.
Boy: Mi mwenyew naishi kwa
mkopo, bado cjawaza unakula nn,
iphone mi natoa wap?
Girl: Mi cjui bwana, we
mwanaume..
Boy: Mi mwanaume ndio, ila
usinifanyie ivyo mamy...mwenyew
unajua..
Girl: Poa, bas ntajua ntakoipata
mwenyewe..
Boy: Kwaio husomi tena unawaza
i4n sio? We unasoma au unafanya
maonyesho ya simu?
Girl: Nasoma..
Boy: Sasa hiyo uliyonayo ina shida
gan? Muda wa ma2miz ya sim
kwanza unatoa wap?
Girl: Bby mi mtoto wa kikee..
Boy: Kwaio unatakaje?
Girl: Nataka niwafunike wotee..
Boy: Poa, kesho tukutane twn bas
nkakununulie turubai...pumbavu

piga chini kibaka huyo
 
na kama hana hicho kitakachwo anakuwa hajampenda ama tatizo uwezo? Nijibu fasta manake nataka helcopter ila naelewa paw wangu hana uwezo huo kwa hiyo nakuwa mpole na kibaby walker
kama umempenda mpe atakacho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom