January-Chuma Kinachaji Betri
February
Mapenzi Mubasharaaaaa
List ya wauza unga✍️
March
Bashite
Nape OUT
April
Naliamsha Dude
Roma ametekwa na kupatikana akiwa salama. Hajafanywa chochote
May-Kibiti
June-Makinikia
July
William arudisha mamilioni ya ESCROW
Mara paaap vichwa 13 vya Treni havina mwenyewe
August
Utatoa hutoi?
Sikumbuki lakini vimekaza!
September
Tundu Lee Sue
Diamond & Hamisa….Zilipendwa
October
Dogo Janja afanya maujanja
900 itapendeza
November-Lulu…miaka miwili itapendeza⚖️
December
Expansion Joint
Seya tutoke wotee
Wekeni Grisi
2018...... utajaza