Mwaka wa Tabu kwa Yanga
M Mwera JF-Expert Member Oct 26, 2010 964 88 Sep 27, 2011 #2 Kwanini mwaka wa tabu? Yanga ndio atakua bingwa mwaka huu,usikate tamaa mkuu ligi bado sana.
N NGEDENGE Senior Member Sep 20, 2011 109 11 Sep 28, 2011 #3 ccm inakufa na matawi yake hakuna tawi litakalo salia. yanga ccm D