Mwaka wa 4 watauza nn?

Watauza Friji na Kitanda kwa lugha ya kuwa wamenunua vingine vipya na ndiyo Kiki ya sasa hata humu, maisha yanakugonga unakuja humu kutafuta wateja kwa kusema umenunua vingine vipya kumbe VYUMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…