Kwanza niwapongeze sana vijana na watu wote mliyofanikiwa kudahiliwa katika kujiunga na masomo ya juu katika vyuo mbalimbali
Kwa mliyobahatika kupata mkopo niwashauri kuja na nguvu binafsi yaani jitaahidi kwenda na fedha za matumizi za kutosha. hali ya sasa si kama zamani lolote laweza kutokea.