Mwaka mpya nami mpya

Hahahaa afadhal, kitungu kinatia hata uvivu kusoma kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii google translate imeniacha hoi walah
 

Nilitaka niandike pumba kwenye huu uzi, Ila ushauri wako umenigusa dada yangu Lizzy. Kwenye issue ya kuaccomodate watu ni moja ya changamoto kubwa sana kwangu, huwa nafikiria watu watakavyosuffer Kwa sababu ya maamuzi yangu ingawaje wao ndio wanakuwa wamekosea au wamenikosea. Nafikiria kwa niaba yao badala ya wao kufikiria wenyewe.
Na siku zote nakuwaga wa mwisho kugundua ill motives za hawa the so called my friends or my companions.
But the good thing is I am working on it. And I believe in few years to come, I won’t be the same.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…