Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,085
- 4,475
Dah hizo Punch line ziko kwenye wimbo gani mkuuKabla hajaanza kurap alishaitwa Godzilla.
Hakupenda kuwa mc alitaka kuwa drug dealer...
Ndugu na marafiki wakaleta complains.
Ana kipaji na kwa nini aishie kusell cocaines.
Dah.. R. I. P King
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Leo bado tunayakumbuka Sana mkuu"Labda maneno yangu yatakumbukwa siku nikifa" Stay!!!
Rest in peace King zilla
Na Leo bado tunayakumbuka Sana mkuu
Tena Kuna kichaa mmoja aliwahi kuimba eti "pengo la zilla ni billnass""..NI UNABII AMBAO HAUJATIMIAJamaa alibarikiwa sana nashangaa hata walivokuwa wanamcompare na bill nass
Amen, muziki wake bado unaishi hata sasaKing Zilla Endelea Kupumzika Kwa Amani
Jaribu kuyaiga mazuri yake. Kila nafsi itaonja umauti.Ilikua Siku kama ya leo mwaka 2019 pale familia,wadau,na wapenzi wa muziki wa hip-hop tulikumbwa na majonzi kufuatia taarifa ya kifo Cha msanii kingzilla (king of freestyle bongo.)
Godzilla alifariki alfajiri ya tar 13 Feb 2019 baada ya kuugua ghafla nyumbani kwake mbezi salasala
Historia fupi
Jina lake kamili ni Golden Jacob Mbunda, alizaliwa Januari 5, 1988 mkoani Morogoro. Alitambulika katika tasnia ya muziki kwa wimbo wake ulioitwa 'Salasala', ambao pia unatambulisha mtaa wake aliokuwa akiishi.
Tutazidi kumkumbuka na Mungu amlaze mahala pema peponi
Amen
Siku zinaenda sana mkuuKumbe Zilla aliondoka 2019, kama juzi tu..
Na kila ulimi utajibu kwa matendo ya mwenye huo ulimi 😮💨Jaribu kuyaiga mazuri yake. Kila nafsi itaonja umauti.