Rangel, soko la walimu wa arts linaelekea kufloat hasa kwa shule za serikali. kitakachobaki ni halmashauru kujaza nafasi zilizowazi kwa kutangaza ajila badala ya Wizara. Pamoja na kwamba serikali itaendelea kuajili walimu wa arts kwa miaka ya baadaye si kwa uwingi wa walimu wa wanaoajiriwa sasa. Cha msingi hata kama watakuwa wamesitisha we soma tu kwani lazima uajiriwe serikalini? Shika cheti chako, pale fulsa itakapotokeza ya kuajiriwa unakuwa na cheti mkononi tayari