MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya
Chimbuvu vipi sasa wewe jamaa? utakuwepo? nakuja xmas ila sitakaa siku nyingi, tarehe mbili nageuka kama vipi tuchekiane, afu uko wapi now? dar? mwanza? au?