Mwaka 2024 staki kabisa mtu alete utani kwenye maisha yangu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,842
Mwaka unaokuja inabidi sasa niwe serious, staki shobo namtu, sitatoa hata mia yangu kusaidia masikini maana ukimsaidia masikini unazoa laana zake

Mwaka 2024 utakuwa ni mwaka wangu wa mafanikio. Yesu anajua huu mwaka unaokuja ananipa Baraka zake zote nakuwa kila kitu ninachofanya kinaenda kwenye mstari

Nitajari mda, nitamwomba sana mungu, nitatumia akili sio nguvu, nitakuwa nimenyooka Nikisema Sina Inamana Sina fullstop sio kujikanyaga kanyaga
 
Mwamba mpwayungu village mwenyewe the sole bread winner (mshindi mkuu wa mkate) wa ukoo wenu wote.

Mtaalam wa kufundisha samaki kuogelea.

JF person of the year 2022
 
Mwaka unaokuja inabidi sasa niwe serious, staki shobo namtu, sitatoa hata mia yangu kusaidia masikini maana ukimsaidia masikini unazoa laana zake

Mwaka 2024 utakuwa ni mwaka wangu wa mafanikio. Yesu anajua huu mwaka unaokuja ananipa Baraka zake zote nakuwa kila kitu ninachofanya kinaenda kwenye mstari

Nitajari mda, nitamwomba sana mungu, nitatumia akili sio nguvu, nitakuwa nimenyooka Nikisema Sina Inamana Sina fullstop sio kujikanyaga kanyaga
Mwamba kama mwamba hautaki shobo kabisa 2024 ni mwendo wa kuwapiga spana tu.
 
Hata hivyo mpwayungu kakakaa kishambashambashamba. Ndo huyo kulia kachuchumaa alipotembelea kwenye makaburi ya kimbari Rwanda.

images - 2022-09-02T160201.053.jpg
 
Mwaka unaokuja inabidi sasa niwe serious, staki shobo namtu, sitatoa hata mia yangu kusaidia masikini maana ukimsaidia masikini unazoa laana zake

Mwaka 2024 utakuwa ni mwaka wangu wa mafanikio. Yesu anajua huu mwaka unaokuja ananipa Baraka zake zote nakuwa kila kitu ninachofanya kinaenda kwenye mstari

Nitajari mda, nitamwomba sana mungu, nitatumia akili sio nguvu, nitakuwa nimenyooka Nikisema Sina Inamana Sina fullstop sio kujikanyaga kanyaga
Kama upo serious vile😂😂😂

Wakati Kuna taimu uliwahi kutamani kua manzi ili uwe unakula Ela zetu kiulaini Ila ticha kaza hakuna kutoa hata mia
 
Mwaka unaokuja inabidi sasa niwe serious, staki shobo namtu, sitatoa hata mia yangu kusaidia masikini maana ukimsaidia masikini unazoa laana zake

Mwaka 2024 utakuwa ni mwaka wangu wa mafanikio. Yesu anajua huu mwaka unaokuja ananipa Baraka zake zote nakuwa kila kitu ninachofanya kinaenda kwenye mstari

Nitajari mda, nitamwomba sana mungu, nitatumia akili sio nguvu, nitakuwa nimenyooka Nikisema Sina Inamana Sina fullstop sio kujikanyaga kanyaga
Sawa Mwalimu Mpwayungu. Ubarikiwe sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom