DJ Kassu
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 382
- 282
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]duuu!! sigara nazo wamepandisha bei beer hazinyweki gongo nayo wanakamata bas tabu tupu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]duuu!! sigara nazo wamepandisha bei beer hazinyweki gongo nayo wanakamata bas tabu tupu.
Usimlaumu yeye laumu Elimu mbovu ya Tz. Failures ndyo wanakuwa walimu sasa end product unategemea iweje?Kesho ukienda shule muulize mwalimu wako hapo kwenye "Red" palitakiwa paandikwe aje kwa kiswahili fasaha?
ujumbe umekuingia vizuri ila unazuga tu! 2020 si mbali.Kesho ukienda shule muulize mwalimu wako hapo kwenye "Red" palitakiwa paandikwe aje kwa kiswahili fasaha?
Hivi wewe una akili kweli? Kwa hiyo ulitaka wenye vyeti feki waachwe? Ulitaka simu feki ziachwe? Ulitaka wazembe waachwe? Hebu ni tajie mtu aliye fukuzwa kazi...Aya matukio yanayo mkumba mwananchi wa kawaida .. mala kufukuzwa kazi, mala vyeti feki,mala mtu katumbuliwa, mala Simu feki …. alafu una kuja kumuomba kura 2020 na kusahau ulivo mtesa .. Basi sawa
Sasa mtu kama huyu akifeli bado atasema Magufuli kasababisha.Kesho ukienda shule muulize mwalimu wako hapo kwenye "Red" palitakiwa paandikwe aje kwa kiswahili fasaha?
Huyo ndio humwandikia Lowasa hotubaduh huyu jamaa alisomea wapi ? mwaka gani?"
pole sana mkuuMwaka 60