Mwaka 1 wa Wateule wa Magufuli

Mwaka 1 wa Wateule wa Magufuli

Joined
Jun 4, 2019
Posts
14
Reaction score
23
Anaandika
Mwanafalsafamweusi

Mwaka mmoja wa wateule vijana Ma DC Katambi,Sabaya,Muro na Joketi.
Nianzie kwa kuwapongeza nyie wateule Vijana wa Rais Magufuli kwa kumaliza mwaka mmoja wa uongozi wenu bila kutumbuliwa.Mlianza kwa speed sana siku mlipo teuliwa tu mlionyesha mlikua mnahamu ya kuteuliwa wengine mkatoa matamko siku hiyo hiyo yakuwaelekeza watendaji walio chini yenu labda hata ya kuingia ofisini

DC Muro
Muro uliwaka sana siku ya kuapishwa kwako mbele za mkuu wa mkoa Wa Arusha RC Gambo juu ya migogoro ya Ardhi ukasema lazima utamaliza migogoro hiyo Arumeru na waliopo huko wanakiri umefanikiwa sana.DC Muro speed yako uliwahi kusema kama ni nyuzi joto C/100 matamko yakawa mengi na mengi kweli uliyasimamia hata karoti naamini sasa Arumeru hazikatishi ulitukoshabsana na zile ziara zako za usiku kukagua mahosptalini piga Kazi Tanzania inakutazama.

DC Sabaya
Aliwahi kuandika mwandishi wa habari Aloyce nyanda kuwa huyu Sabaya ni Kifaru cha Kivita siku moja tu tangu Alipoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Hai.

Juzi nilikua naongea na Rafiki yangu Apiove Lwiwa Mwanafalsa msomi mwenye PHD kutoka Dodoma akaniambia ukiacha zama za kina Makonda na Ally Hapi.

"Sabaya kwa sasa ndie mkuu wa wilaya maarufu kuliko wote Tanzania na anaefatiliwa na watu wote upinzani wanamtazama kwa jicho la kutazama atajikwaa wapi Atumbuliwe,CCM wanamtazama kwa jicho la matumaini chini ya uongozi wake Hai wanaamini Mh Freeman Mbowe hatarudi tena Bungeni 2020

Ana Sauti yenye mamlaka na sura akitoa maagizo huwa anaonekana anamaanisha tofauti na wengine baadhi yao huonekana kama wanafanya maigizo" alisema mwanafalsafa Apiov

Kwa mwaka mmoja wake kasi yake ya utendaji haijawahi kushuka tofauti na wengine hajawahi kutoa matamko akashindwa kuyasimamia japo ameonekana ni kikwazo kwa vyama vya upinzani wilayani Hai wamekuwa wakimlalalamikia Mara kadhaa kuwa anawazuia kutimiza majukumu yao ya kisiasa wilayani Hai na kuisitawisha zaidi CCM kila pembe ya Wilaya ya Hai.

Upinzani wanajaribu kupambana nae kwa mlango wa nyuma kwa kutumia skendo na kashifa ambazo zimekuwa zikitafsiriwa kama mbinu za kuipunguza kasi yake lakini bado amezidi kubaki ile ile ambayo alianza Nazo Tangu kuteuliwa kwake.

Tuliopo nje ya Kilimanjaro tunakuona kama ni MTU korofi,Jeuri kwa wale wanao waonea watu wanyonge nasikia Hai wamekutungia wimbo wakukusifia Kazi zake na Magufuli Piga Kazi Tanzania inakutazama kwa ukaribu sana wengine wanasema wewe ndie Sokoine wasasa mrithi wa Sokoine aliyepita miaka mingi iliyopita kutoka kwenye jamii ya Kimasai.
DC Joketi
Kila siku watu wanakutazama waone utakwama wapi umekua bora kuliko wenzako wengine kwa kile ulichokifanya kisarawe kuhusu swala la elimu Tanzania imeliona na hauja wahi kukwama umekuwa na hekima na maamuzi ya busara hufanyi kazi zako kwa kiki hakika mwaka mmoja wako huko Kisarawe Umekuwa wa maana Sana.

DC Katambi
Kutoa upinzani hadi kuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Dodoma ulipewa wilaya ngumu kwakuwa ina pokea mabadiliko makubwa kuifanya Dodoma kuwa jiji haswa.Tunakutazama pia kutoka nje ya Dodoma tunaona namna ambavyo hauna mbwembwe za vyombo vya habari kama wenzako lakini Kazi inaonekana kwa mwaka mmoja wako sasa Dodoma ina pendeza kwanzia Nane nane hadi Chang'ombe miundo mbinu iko vizuri piga kazi Tanzania Inakutazama.

Mwanafalsafamweusi
0763943843
 
Kwa hiyo wewe unatetea ‘ubabe’ na kutumia madaraka vibaya kwa kisa cha kupunguza nguvu za upinzani na utafikiri upinzani ni uadui wa hivyo na huo upinzani umejipachika hapo bila kutambuliwa hata na katiba

Nasema kuna muda sisi wa Africa akili zetu tunazijua wenyewe kwa kweli ni bado sana kwa kutumia akili zetu sawasawa
 
Namba ya simu muhimu sana na majina yako kamili kuliko kitu chochote kwa sasa
 
Anaandika
Mwanafalsafamweusi

Mwaka mmoja wa wateule vijana Ma DC Katambi,Sabaya,Muro na Joketi.
Nianzie kwa kuwapongeza nyie wateule Vijana wa Rais Magufuli kwa kumaliza mwaka mmoja wa uongozi wenu bila kutumbuliwa.Mlianza kwa speed sana siku mlipo teuliwa tu mlionyesha mlikua mnahamu ya kuteuliwa wengine mkatoa matamko siku hiyo hiyo yakuwaelekeza watendaji walio chini yenu labda hata ya kuingia ofisini

DC Muro
Muro uliwaka sana siku ya kuapishwa kwako mbele za mkuu wa mkoa Wa Arusha RC Gambo juu ya migogoro ya Ardhi ukasema lazima utamaliza migogoro hiyo Arumeru na waliopo huko wanakiri umefanikiwa sana.DC Muro speed yako uliwahi kusema kama ni nyuzi joto C/100 matamko yakawa mengi na mengi kweli uliyasimamia hata karoti naamini sasa Arumeru hazikatishi ulitukoshabsana na zile ziara zako za usiku kukagua mahosptalini piga Kazi Tanzania inakutazama.

DC Sabaya
Aliwahi kuandika mwandishi wa habari Aloyce nyanda kuwa huyu Sabaya ni Kifaru cha Kivita siku moja tu tangu Alipoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Hai.

Juzi nilikua naongea na Rafiki yangu Apiove Lwiwa Mwanafalsa msomi mwenye PHD kutoka Dodoma akaniambia ukiacha zama za kina Makonda na Ally Hapi.

"Sabaya kwa sasa ndie mkuu wa wilaya maarufu kuliko wote Tanzania na anaefatiliwa na watu wote upinzani wanamtazama kwa jicho la kutazama atajikwaa wapi Atumbuliwe,CCM wanamtazama kwa jicho la matumaini chini ya uongozi wake Hai wanaamini Mh Freeman Mbowe hatarudi tena Bungeni 2020

Ana Sauti yenye mamlaka na sura akitoa maagizo huwa anaonekana anamaanisha tofauti na wengine baadhi yao huonekana kama wanafanya maigizo" alisema mwanafalsafa Apiov

Kwa mwaka mmoja wake kasi yake ya utendaji haijawahi kushuka tofauti na wengine hajawahi kutoa matamko akashindwa kuyasimamia japo ameonekana ni kikwazo kwa vyama vya upinzani wilayani Hai wamekuwa wakimlalalamikia Mara kadhaa kuwa anawazuia kutimiza majukumu yao ya kisiasa wilayani Hai na kuisitawisha zaidi CCM kila pembe ya Wilaya ya Hai.

Upinzani wanajaribu kupambana nae kwa mlango wa nyuma kwa kutumia skendo na kashifa ambazo zimekuwa zikitafsiriwa kama mbinu za kuipunguza kasi yake lakini bado amezidi kubaki ile ile ambayo alianza Nazo Tangu kuteuliwa kwake.

Tuliopo nje ya Kilimanjaro tunakuona kama ni MTU korofi,Jeuri kwa wale wanao waonea watu wanyonge nasikia Hai wamekutungia wimbo wakukusifia Kazi zake na Magufuli Piga Kazi Tanzania inakutazama kwa ukaribu sana wengine wanasema wewe ndie Sokoine wasasa mrithi wa Sokoine aliyepita miaka mingi iliyopita kutoka kwenye jamii ya Kimasai.
DC Joketi
Kila siku watu wanakutazama waone utakwama wapi umekua bora kuliko wenzako wengine kwa kile ulichokifanya kisarawe kuhusu swala la elimu Tanzania imeliona na hauja wahi kukwama umekuwa na hekima na maamuzi ya busara hufanyi kazi zako kwa kiki hakika mwaka mmoja wako huko Kisarawe Umekuwa wa maana Sana.

DC Katambi
Kutoa upinzani hadi kuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Dodoma ulipewa wilaya ngumu kwakuwa ina pokea mabadiliko makubwa kuifanya Dodoma kuwa jiji haswa.Tunakutazama pia kutoka nje ya Dodoma tunaona namna ambavyo hauna mbwembwe za vyombo vya habari kama wenzako lakini Kazi inaonekana kwa mwaka mmoja wako sasa Dodoma ina pendeza kwanzia Nane nane hadi Chang'ombe miundo mbinu iko vizuri piga kazi Tanzania Inakutazama.

Mwanafalsafamweusi
0763943843
Kwani kuna nafasi iko wazi ya uteuzi hadi uweke namba ya simu?
 
Sawa kabisa. Hebu fuatilia uzi huu "DC Ole Sabaya kuchunguzwa kuhusu tuhuma za kuomba rushwa na kutoa vitisho"
 
Mbona ya Sabaya ndefu kuliko wengine.. naona umeandika hili kutokana na yaliyojiri juu yake tuhuma kubwa sana kwake.. mngetulia kimya kwanza shaaaa...
 
Laanaturah mwanafalsafa tumbo njaaa
 
Sawa kabisa. Hebu fuatilia uzi huu "DC Ole Sabaya kuchunguzwa kuhusu tuhuma za kuomba rushwa na kutoa vitisho"
Failures wote hawa wamekaa chini kujitengenezea masifa yakujipachika kutuletea humu JFs ,si unajua hii ndio jukwaa pendwa kwa kila mtanzania, yameandika huo utumbo na kija kuchafua Jukwa la wenye akili
 
Story yako haisaidii kumsafisha ole sabaya kwa tuhuma nzito zinazomkabili kwa sasa! Wananchi walio wengi wanamtafsiri rais kutokana na matendo ya hovyo ya wasaidizi wake ndio maana wanambeza na kumcheka kila atoapo tamko!
Kitendo cha wateule Wa rais kudai na kulazimisha kupewa rushwa kwa kibwagizo kutoka juu ni lazima sasa Huyo mwagizaji kutoka juu ajulikane na kutumbuliwa na au wachukuaji wakabiliwe na mteule kwa nguvu ili kuiondoa dhana ya usanii iliyojengeka kwa wananchi!
 
Back
Top Bottom