Mwai Kibaki adaiwa kulazwa Nairobi Hospital. Msaidizi wake apinga taarifa hizo

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki (88) anadaiwa kulazwa katika hospitali ya Nairobi huku familia yake ikisema alifikishwa hospitalini Jumatatu akilalamikia maumivu ya goti

Kwa mujibu wa gazeti la Star, chanzo kutoka ndani ya familia kimeeleza kuwa Kibaki alipelekwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi wa afya na kama familia inamuombea

Aidha, Msaidizi binafsi wa wa Rais huyo wa tatu nchini Kenya, Ngari Gituku amesema Kibaki hajalazwa na alienda hositalini kwa uchunguzi wa kawaida wa afya

Taarifa hizi zinakuja ikiwa ni siku chache tangu Rais mwingine mstaafu wa nchi hiyo, Daniel Arap Moi kulazwa katika hospitali ya Nairobi
******

It seems like it is not a great season for former Kenyan Presidents. Just days after former President Moi was admitted to the Nairobi Hospital, his counterpart Mwai Kibaki has joined him there.

Kibaki has been admitted at the Nairobi Hospital just days after he returned from treatment in London.

According to Kibaki’s family, the country’s 3rd President was taken to hospital on Monday having complained of pain in the knee.

It is his (Kibaki) knee that made him seek medication in London. The 88 year old was taken through a series of medical examination with his knee also taken through one.

“Mzee was taken to the hospital for some check-ups but we are praying for him,” Said a family source as quoted by the star.

Conflicting reports have however been given by Ngari Gituku, Kibaki’s private secretary who stated that the former head of state was not admitted and that he only visited the Nairobi Hospital for regular medical attention.

Describing Kibaki as “cheerful and alert”, Gituku stated that the ex-President is not admitted at the Nairobi Hospital.
 
Back
Top Bottom