Kweli jamaa ni bonge la player, nasikia ni teacher wa primary school.

viva Mbeya city
kutoka ligi daraja la kwanza mpaka ubingwa ligi kuu
Subirini Wenye Mpira Wao ( Simba na Yanga ) Warudi Round Ya Pili wa Mzunguko ndiyo Mtajua Kuwa Soka la Nchi hii Limetawaliwa na Timu Hizo Kubwa Mbili na Huyo Mwagane Wenu Atapotezwa Vibaya Mno. Hivi Jiulizeni tu Hiyo Mbeya City Yenu Imefikia Rekodi Ya Timu Hizi: Pamba FC, Sigara SC, Nyota Nyekundu FC, Mecco FC, Reli Ya Morogoro, Kajumulo FC, Tanzania Stars FC, Moro United na Mkwara wa Oljoro FC ilipoingia Ligi Kuu Mwaka Juzi? Mbona Hatuhifazi Kumbukumbu ili Tuje na References za Kutosha? Hebu Niambie ktk Jamii Yetu Kuna Nani Ambaye Hayupo ktk Timu Moja Kubwa Kama Simba na Yanga? Mkae Mkijua Kuwa Simba na Yanga Ni Taasisi Kubwa na Zina Ushawishi Mkubwa Mno ktk Jamii Yetu ndani na Mpaka Nje Ya Tanzania na Nakumbuka Maoni Ya Super Sports Senior Presenter and Soccer Analyst Mr. Thomas Mlambo aliposema Kuwa Afrika Kuna Derbies Nyingi Akatolea Mfano wa Kwao Afrika Ya Kusini Kaizer Chiefs na Orlando Pirates, Asante Kotoko na Hearts of Oak Nchini Ghana, Zamalek na Alhahly Nchini Misri, Darling Club Motema Pembe na Toup Puisant Mazembe Nchini DRC, APR na Rayon Sports Nchini Rwanda, SC Villa na Express Nchini Uganda na Gor Mahia na FC Leopards ILA DAR ES SALAAM DERBY Ni Kiboko na Msiojua Zikichezwa Mechi na Watani wa Jadi Tanzania hata Nchi za Wenzetu Husisimuka na Kufuatilia MTANANGE Huo. Simba na Yanga Ni Zaidi Ya Ufikirivyo na Hiyo Mbeya City Yako hebu Kaifananishe na ------ ( MAKALIO ) FC Ya Huko Kwenu UNYARUGUSUNI.
Kafunga magoli mazuri na ana mwili mzuri. Jamaa ana miaka mingapi?
Bado wewe upo zama za Giza na ni Mtumwa wa HistoriaSubirini Wenye Mpira Wao ( Simba na Yanga ) Warudi Round Ya Pili wa Mzunguko ndiyo Mtajua Kuwa Soka la Nchi hii Limetawaliwa na Timu Hizo Kubwa Mbili na Huyo Mwagane Wenu Atapotezwa Vibaya Mno. Hivi Jiulizeni tu Hiyo Mbeya City Yenu Imefikia Rekodi Ya Timu Hizi: Pamba FC, Sigara SC, Nyota Nyekundu FC, Mecco FC, Reli Ya Morogoro, Kajumulo FC, Tanzania Stars FC, Moro United na Mkwara wa Oljoro FC ilipoingia Ligi Kuu Mwaka Juzi? Mbona Hatuhifazi Kumbukumbu ili Tuje na References za Kutosha? Hebu Niambie ktk Jamii Yetu Kuna Nani Ambaye Hayupo ktk Timu Moja Kubwa Kama Simba na Yanga? Mkae Mkijua Kuwa Simba na Yanga Ni Taasisi Kubwa na Zina Ushawishi Mkubwa Mno ktk Jamii Yetu ndani na Mpaka Nje Ya Tanzania na Nakumbuka Maoni Ya Super Sports Senior Presenter and Soccer Analyst Mr. Thomas Mlambo aliposema Kuwa Afrika Kuna Derbies Nyingi Akatolea Mfano wa Kwao Afrika Ya Kusini Kaizer Chiefs na Orlando Pirates, Asante Kotoko na Hearts of Oak Nchini Ghana, Zamalek na Alhahly Nchini Misri, Darling Club Motema Pembe na Toup Puisant Mazembe Nchini DRC, APR na Rayon Sports Nchini Rwanda, SC Villa na Express Nchini Uganda na Gor Mahia na FC Leopards ILA DAR ES SALAAM DERBY Ni Kiboko na Msiojua Zikichezwa Mechi na Watani wa Jadi Tanzania hata Nchi za Wenzetu Husisimuka na Kufuatilia MTANANGE Huo. Simba na Yanga Ni Zaidi Ya Ufikirivyo na Hiyo Mbeya City Yako hebu Kaifananishe na ------ ( MAKALIO ) FC Ya Huko Kwenu UNYARUGUSUNI.
Subirini Wenye Mpira Wao ( Simba na Yanga ) Warudi Round Ya Pili wa Mzunguko ndiyo Mtajua Kuwa Soka la Nchi hii Limetawaliwa na Timu Hizo Kubwa Mbili na Huyo Mwagane Wenu Atapotezwa Vibaya Mno. Hivi Jiulizeni tu Hiyo Mbeya City Yenu Imefikia Rekodi Ya Timu Hizi: Pamba FC, Sigara SC, Nyota Nyekundu FC, Mecco FC, Reli Ya Morogoro, Kajumulo FC, Tanzania Stars FC, Moro United na Mkwara wa Oljoro FC ilipoingia Ligi Kuu Mwaka Juzi? Mbona Hatuhifazi Kumbukumbu ili Tuje na References za Kutosha? Hebu Niambie ktk Jamii Yetu Kuna Nani Ambaye Hayupo ktk Timu Moja Kubwa Kama Simba na Yanga? Mkae Mkijua Kuwa Simba na Yanga Ni Taasisi Kubwa na Zina Ushawishi Mkubwa Mno ktk Jamii Yetu ndani na Mpaka Nje Ya Tanzania na Nakumbuka Maoni Ya Super Sports Senior Presenter and Soccer Analyst Mr. Thomas Mlambo aliposema Kuwa Afrika Kuna Derbies Nyingi Akatolea Mfano wa Kwao Afrika Ya Kusini Kaizer Chiefs na Orlando Pirates, Asante Kotoko na Hearts of Oak Nchini Ghana, Zamalek na Alhahly Nchini Misri, Darling Club Motema Pembe na Toup Puisant Mazembe Nchini DRC, APR na Rayon Sports Nchini Rwanda, SC Villa na Express Nchini Uganda na Gor Mahia na FC Leopards ILA DAR ES SALAAM DERBY Ni Kiboko na Msiojua Zikichezwa Mechi na Watani wa Jadi Tanzania hata Nchi za Wenzetu Husisimuka na Kufuatilia MTANANGE Huo. Simba na Yanga Ni Zaidi Ya Ufikirivyo na Hiyo Mbeya City Yako hebu Kaifananishe na ------ ( MAKALIO ) FC Ya Huko Kwenu UNYARUGUSUNI.
Kafunga magoli mazuri na ana mwili mzuri. Jamaa ana miaka mingapi?
Gentamycine umekuwa na mengi kama jina la dawa uliloandika ,, mi nimejaribu tu kusema na kuweka wazi kile alichofanya mwagane yeya na kumpa tu ushauri , na pia kumpongeza , hakatazwi kwenda yanga wala simba kwa maslai yake .
Mwagane Yeya. Mwabwomba waane! Piga mzigo. Usibweteke. Huo ni mwanzo tu. Nidhamu na kumheshimu Mwl.. Mwambusi ni jambo la msingi sana.
Wasiliana na timu, kupitia Halmashauri ya Jiji. Nadhani watakupa taarifa zote...