Huyu ni "JF member" maarufu sana akiwa Gym. Hebu mwaga marks tafadhali!!!
View attachment 232429
waione: Mshana Jr., miss chagga, kabanga,
mkuu wa wilaya ya wapi huyu?
Ha ha ha mbona kajibinua Sana?,huyo mwalimu wa Gym hiyo Ana kazi!...
Anazuga eti Gym kumbe hayupo huko