Mwafrika ni nyani akiyechangamka

Viongozi wengi wa kiAfrica wanajali maslahi yao kwanza ndo mengine yafuate.
 
Nyani nyingine hii hapa
Huyu mdau anaitwa kithure kindiki (now ni cabinet minister wa interior 🇰🇪) ,mwaka 2018 akiwa senator aliruka na helicopter kutoka Nairobi kwenda Tharaka nthi kusaidia ujenzi wa darasa la matope
 
Mkuu uliwahi kulinganisha benders ya Marekani na ya Liberia? Mkuu unsjua kuwa mwanamke mmarekani amewahi kuwa raisi wa Liberia?
 
The problems of Africa are the Africans themselves. The moment you rise up against this, Your own people will Betray you and hand you over to the enemies... Poor Africa!! and we are doomed to remain poor till eternal...
 
Tunatengeneza matatizo ili tuje tumsifie mtu kwa kuyatatua.
Kuna mambo ukiyatafakari sana unaweza ukawa unaongea mwenyewe njiani.
Mwafrika ni umbwa mkubwa kasoro mkia
 
Aisee tafadhali kabisa. Nyani kama nyani ni mnyama mwenye akili nyingi sana na anietendea haki akili yake katika kujiletea ustawi wa jamii inayomzunguka. Usifananishe nyani na binadamu tena mwafrika

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] Kama huyu mwingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…