PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,289
- 17,313
Nani huyo,bila shaka mwana mbumbumbu fc, 🚶
Tena afadhali Nyani, anaweza kumudu kuiba mahindi akalisha famila yake. These so called presidents can not make any tangible achievements for their people!@ Yapo ku consolidate power kutawala milele!Kiukwel kupitia matendo ya viongoz wetu wa nchi za kiafrika anzia Uganda rwanda na nch zote za kiafrika matendo yao yanafanana Sana kujipendelea kutotaka Kutoka madarakani kufuja pesa za uma kwa matumiz binafsi upendeleo wa Kaz za umma
Mambo haya yote yanafanya tuonekane wapuuzi
Viongoz wetu hawapend kushauriwa Wala kuchukua hatua had pale mambo yakiharibika
Tatizo la maji Tanzania kila mtu anashangaa tuna maziwa makuu 3 viktoria tanganyika na nyasa bado maziwa madogo madogo lakn ajabu hapo mwanza kigoma au Ruvuma wanatatizo la maji
Wakat wa tatzo la maji hapa dsm dawasa walitoa tangazo wenye visima wasiuze maji Sasa unajiuliza Hawa n watu au nyani.
na kwanini hawalipindui?Kuna yule Rais wa Cameroon, Paul Biya sasa yupo madarakani zaidi ya miaka 40 na muda mwingi yupo anaishi Ufaransa. Yaaani Africa ni bara jeusi kwelikweli
has or have: elimu haina mwisho tujifunze nami nijifunzehave
Mwanambumbumbu,akiandaa chai baada ya kusonga sembe na kukwamwa, anajaribu chai ya moto moto kuyeyusha sembe🤸Basi sawa....
Huyu ndio kavunja Record ya Guinness, sio poa kamzidi hadi Hayati MugabeKuna yule Rais wa Cameroon, Paul Biya sasa yupo madarakani zaidi ya miaka 40 na muda mwingi yupo anaishi Ufaransa. Yaaani Africa ni bara jeusi kwelikweli
Mtoto wa George Wheah ambaye ni rais wa Liberia nchi iliyoko Africa aenda kuchezea timu ya mpira wa miguu ya Marekani na Baba yake yuko comfortable kabisa!Kuna yule Rais wa Cameroon, Paul Biya sasa yupo madarakani zaidi ya miaka 40 na muda mwingi yupo anaishi Ufaransa. Yaaani Africa ni bara jeusi kwelikweli
Hapo ndio nnaposema aliowaroga Wacameroon itakuwa kafana kwanini hawalipindui?
Ni "have" na sio "has" mkuuhas or have: elimu haina mwisho tujifunze nami nijifunze