Mwafrika kawa CEO wa Credit Suisse

Mwafrika kawa CEO wa Credit Suisse

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,355
Reaction score
15,082
Mwafrika wa kwanza (mweusi) ajulikanaye kama Bw.Tidjane Thiam ambaye ni mzaliwa wa wa nchi ya Ivory Coast huko Afrika ya Magharibi ameteuliwa kuwa Mkuu (CEO) wa Credit Suisse Group ambayo ni moja ya Financial Institutions kubwa Duniani yenye makao yake nchini Uswisi.

Huyu Jamaa ni bosi wa watu kama 46 000 hivi waliojiliwa na Credit Suisse Duniani.


 
Ila jamaa yuko vizuri kiutendaji japo bahati ipo kwake pia na ametoka ukoo wa kiuongozi kule Ivory Cost
 
Back
Top Bottom