Mwadui Imeuzwa!

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
740
Sijui serikali walibakiza hisa kiasi gani, au ni wawekezaji wanagawana faida?


Petra Diamonds buys 75pct of De Beers Tanzania mine
LONDON, Sept 9 (Reuters)
Tue Sep 9, 2008 2:44am

AIM-listed miner Petra Diamonds Ltd said it had acquired a 75 percent stake in Tanzania's Williamson diamond mine for $10 million in cash from Cheviot Holdings, a unit of De Beers.

"Williamson will add a further major mine to our portfolio, with the potential to deliver considerable value to our shareholders," Petra Chief Executive Johan Dippenaar said in a statement on Tuesday.

"This acquisition also marks Petra's entry into Tanzania, further diversifying the Group's geographical spread across Africa," he added.

The Government of Tanzania owns the remaining 25 percent of the mine.

De Beers is 45 percent owned by mining group Anglo American

SOURCE: Reuters
 
Sijui serikali walibakiza hisa kiasi gani, au ni wawekezaji wanagawana faida?





Hivi ni kweli Tanzania hatunauwezo wa kumiliki tekinolojia ya uchimbaji madini mpaka makampuni ya nje yaje kuwekeza?Hivi miaka yote hii hatujaweza kununua hiyo tekinolojia,wasomi wa sekta hiyo wako kibao,tatizo ni nini? Madini yetu lakini watu wa nje ndio wananufaika zaidi,jamani hili nalo linahitaji mtu kwenda university ili aelewe kuwa hakuna serikali hapa? Inasikitisha.
 
Hivi ni kweli Tanzania hatunauwezo wa kumiliki tekinolojia ya uchimbaji madini mpaka makampuni ya nje yaje kuwekeza?Hivi miaka yote hii hatujaweza kununua hiyo tekinolojia,wasomi wa sekta hiyo wako kibao,tatizo ni nini? Madini yetu lakini watu wa nje ndio wananufaika zaidi,jamani hili nalo linahitaji mtu kwenda university ili aelewe kuwa hakuna serikali hapa? Inasikitisha.

Jamani wadanganyika na contract zisizo na nguvu. Sijui ni wataalam wa contract hatuna au ni nini jamani? Ati pale UDSM katika top 100 Universities tumekuwa wa 15 na huko miaka ya nyuma tulikuwa juu zaid ingawa sina statistics hapa. Je ubora wetu huko UDSM hauendani na output ya Kitengo cha Sheria pale? AU labda inabidi wahusika wa review Laws syllubus? Yaani kweli hatuna wanasheria?

Hapo tena ni mchezo mchafu maana hawa De Beers walikuwa wanapata super profit. Sasa naona profit margins yao imeanza kushuka ndiyo maana wameamua kuuza. Na mwekezaji mpya atakuja na yake mara kodi, mara vile ili aweze kuchimba kwa gharama chee.

Pia nina wasiwasi wameona mikataba inatizamwa upya so kwao wame anticipate it will not be on their favor so waka quit. Wazungu achana nao hasa wenye damu ya Ukaburu.

Jamani wizara ya nishati na Madini vipi? So shameful again. Nabaki kuwa bubu sasa.
 
Wakuu kwa mentality tuliyonayo watanzania na especially serikali ni ngumu mno to run a mine profitably. LAKINI NAUNGANA NA WAJUMBE WENGINE tUNA UWEZO WA KUMILIKI HISA NYINGI TU NA KUAJIRI COMPETENT PERSONNEL KAMA HAYO MAKAMPUNI MAKUBWA YANAVYOFANYA
 
Uwezo tunao, nguvu tunazo ila NIA tu ndio hatuna.

Kila mwaka UDSM wanatoa graduates wazuri tu wa Geology + related disciplines in mining engineering.

Tatizo liko sehemu moja tu na wote tunaijua ila HATUJAAMUA kulikabili - UONGOZI.
Ni pale UONGOZI utakapoona faida ya ku-inject own capital and use available human resources ndipo tutakapoendelea.

Makampuni ya uchimbaji madini yanatumia vijana wa Kitanzania, na watu wao wanaowaleta kwa kigezo cha "wataalamu". Lakini ikiwa UONGOZI (na hapa na maanisha SERIKALI KUU) ikiaamua kuwekeza kwenye madini, nchi itaendelea na kupata faida nyingi tu kuliko kidogo hiki cha sasa.
 
"Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi bora"

Hata haya tumeyatupa? Hata katika uchumi wa leo wa kibepari haya bado yanasisitizwa ili sisi katika yote tumeona ufisadi ndio dili?

Njia za mkato hazitatupeleka popote!
 
Na 75% wameuza kwa $ 10m tuu na wakati almasi ni too expensiv. Yaani hiyo ni bei kweli au walikuwa wanagawana na kufanya ukwepaji wa kodi kiasi fulani? By the time tunakuja kushtuka yatakuwa yamebaki maandaki tuu. Nini kifanyike?
 
Sijui serikali walibakiza hisa kiasi gani, au ni wawekezaji wanagawana faida?

Wakati wa Nyerere ilikuwa fifte fifte, yaani Watanzania 50% na Makaburu De Beers 50%, sasa sijui lini tuliwauzia 25% yetu hao De Beers mpaka wakapata hiyo 75% ambayo ndio wanaiuza kwa keshi dola milioni kumi kwa hao wawekezaji wenzao!Da ina maana tumebakiwa na karobo tu!Unga robo usicheze mbali!
 
Mimi naona tuipigie serikali yote "vote of no confidence" na kufanya uchaguzi upya......kama viongozi wenyewe wanakuwa vipofu kiasi hicho....ni aibu......$10 million dollars zinanunua asilimia 75 ya Almasi....kweli viongozi wa serikali hii hawana nia ya kuona maendeleo ya waTanzania ....bali mawazo ya kifisadi ndio yaliyowajaa.
 
Mimi sijaona faida yeyote na Mwadui Mines. Shinyanga imejaa vumbi na watu wake hawajafaidika hata kidogo. Charity begins at home; Shinyanga ingetakiwa kuwa mji ulioendelea baada ya miaka yote hii ya existence ya Mwadui Mines.
 
Sasa sijui watanzania tutabakia na nini? Nadhani sasa ni kuuza Bahari na Maziwa...
 
Hivi ni kweli Tanzania hatunauwezo wa kumiliki tekinolojia ya uchimbaji madini mpaka makampuni ya nje yaje kuwekeza?Hivi miaka yote hii hatujaweza kununua hiyo tekinolojia,wasomi wa sekta hiyo wako kibao,tatizo ni nini? Madini yetu lakini watu wa nje ndio wananufaika zaidi,jamani hili nalo linahitaji mtu kwenda university ili aelewe kuwa hakuna serikali hapa? Inasikitisha.

Seriously, we don't have patriotic leaders hence we lack good governance.
If at all there're committed, patriotic and enthusiatic leaders, I assure you all questions which you raised would have positive answers. May be revolutionary is the only option remained.
 
kosa kubwa tulilolifanya na ambalo litatumaliza haswa kwenye secta ya madini ni kukosa ubunifu...! Tulikosea tokea mwanzoni kwa kuwamilikisha wawekezaji ardhi yetu yote kwa ajili ya kuchimba madini...!

Nchi kama Botswana wao walichokifanya ilikua ni kuingia ubia na makampuni haya ya uchimbaji ambapo sehemu ya mchingo wa serikali ilikua ni hio ardhi ya kuchimbia hayo madini, hivyo kwa kampuni lolote linalotaka kuchimba lazima linngie ubia na serikali katika kuchimba madini, naserikali inapata vyote viwili...! Faida kwa gawiwo na Mrahaba...!

Sasa sisi tanzania tulifanya makosa tokea mwanzo tukawapa ardhi bure bure, ndio maana wao wanafaidi tu, sisi tunaishia kupata mrahaba wa asilimia 3 tu na si vinginevyo...! its pathetic and painful...!
 
Wadau Mgodi wa Almasi wa Williamson wa Mwadui Tanzania umeuzwa tena kwa mwekezaji mwingine kwa bei ya billion kumi na ushee hivi ni zaidi ya mara kumi na tatu ya pesa wajanja walizochukua BOT /EPA.

soma hapo chini

Petra Diamonds buys 75pct of De Beers Tanzania mine
LONDON,Sept 9-AIM-listed miner Petra Diamonds Ltd(PDL.L:Quote,said it had acquired a 75 percent stake in Tanzania's Williamson diamond mine for $10 million in cash from Cheviot Holdings, a unit of De Beers.
"Williamson will add a further major mine to our portfolio,with the potential to deliver considerable value to our shareholders,"Petra Chief Executive Johan Dippenaar said in a statement on Tuesday."This acquisition also marks Petra's entry into Tanzania,further diversifying the Group's geographical spread across Africa,"he added.The Government of Tanzania owns the remaining 25 percent of the mine.De Beers is 45 percent owned by mining group Anglo American.

Chanzo:Reuters
 
Sisi hapo tunabaki na 25% kama wazawa.......hizo ndizo zitakuwa zikibaki katika serikali yetu ya kifisadi sasa sijui nani atakuwa anakusanya..........
 
Wenzetu waarabu pamoja na kuwa wazungu wachimbe Mafuta, lkn maendeleo nchini mwao alau unayaona...Hata Sudan ambayo uchimbaji wa mafuta ndo umeanza..still u can smell harufu ya Maendeleo....Sie TZ Taabaani...Kila mbongo anafikiria Kuiba!!!
 
Mmegi Online
Thursday, 11 September 2008
Vol. 25, No. 135

De Beers offloads another mine to Petra

STAFF WRITER

DIAMOND miner Petra Diamonds has agreed to buy 75 percent of Tanzania's Williamson Mine for US$10 million from the De Beers Group and has budgeted US$28 million to expand the operation in the next two years.

This is the fourth mine Petra Diamonds has bought from De Beers since buying Cullinan, Kimberley Underground and Koffiefontein. As a smaller outfit, Petra Diamonds can mine and manage ageing deposits more economically.

De Beers has opened two new mines in Canada and one in South Africa.
The Managing Director of the De Beers Gareth Penny explained: "The sale of our shareholding in Williamson Diamonds is part of our on-going drive to position De Beers for long-term growth by reviewing our portfolio of mining assets and focusing on those with the best strategic fit.

"As we build the De Beers of the future, we are also creating new opportunities for other players in an increasingly diversified and competitive global diamond industry."

In terms of the sale agreement, the cash consideration is US$10 million. The transaction will also transfer rehabilitation liability.Said Johan Dippenaar, the Chief Executive Officer of Petra:

"Petra already owns three of the world's major diamond mines, Cullinan, Koffiefontein and on completion, Kimberley Underground. Williamson will add a fourth world-class mine to our portfolio, with the potential to deliver considerable value to our shareholders.

"This acquisition also marks Petra's entry into Tanzania, further diversifying the company's geographical spread across Africa. We thank the Government of the United Republic of Tanzania for their support in completing this transaction, and we look forward to working with the Government as our partner in taking the mine forward."

The proposed transaction bodes well for the future of Williamson Diamond Mine as it gives Petra the opportunity to use its expertise to unlock the significant value at the Mwadui deposit (the world's largest kimberlite mine currently in production at 146 hectares) and to invest for the continued sustainable development of mining operations at the Williamson Diamond Mine and the communities the mine supports.

"The Government of the United Republic of Tanzania is pleased to welcome Petra to Tanzania as its new partner in Williamson Diamonds Limited," said Tanzania's Minister of Energy and Minerals, William Ngeleja, when commenting on the sale.

"This is an exciting opportunity to breathe new life into Williamson Mine and Tanzania's diamond mining sector."

Since 1958, Williamson Diamond Limited (WDL) has operated as an incorporated joint-venture between the Government of Tanzania and De Beers. De Beers' shareholding in WDL is held through its wholly-owned subsidiary, Willcroft Company Limited.

WDL operates the open-pit Williamson Mine at Mwadui in the Shinyanga region of northern Tanzania. Petra views itself as a committed long-term player in the diamond industry and has shown itself to be a responsible miner and a good corporate citizen.

The company has proven diamond-mining expertise and, in recent years, has acquired a number of other mines from De Beers Consolidated Mines, a South African subsidiary of De Beers.
 
Back
Top Bottom