Mwacheni Membe aseme

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,163
1,308
Aliekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikianao wa kimataifa katika serikali ya Jakaye Kikwete hivi karibuni amekuwa mwiba kwa serikali ya rais Magufuli .Kwa kuikosoa serikali ya Magufuli kumetokea baadhi ya wabunge na makada wa CCM,kumshambulia Mr Membe kwa maneno makali
Mimi binafsi nampongeza Magufuli kwa utendaji wake tokea aingie madarakani .Lakini si kila jambo yuko sahihi na ni jukumu letu kumkosoa . The
Wabunge na makada wa CCM acheni kuwa wanafiki.Mnajua wazi rais Mstaafu Jakaya Kiwetu alivyotufikisha hapa Watanzania katika miaka yake kumi ya utawala wake.Ni nani kati ya nyie makada wa CCM na wabunge wa CCM aliejitokeza hadharani na kumkosoa hadharani ?
 
Back
Top Bottom