Mwache mchagga aitwe mchagga

Sema tu umecopy toka gazeti la the nation..hii kitu ilitokea Nairobi na mfanyabiashara alikuwa anaenda Dubai... Siku nyingine ukidanganya tumia akili kidogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umetafsiri na kuhariri ile ya Mmasai wa Nairobi iliyokuwa imeandikwa kwa kiingereza, na kuifanya ya Mchaga wa Moshi. Utakuwa Mchaga ww, hongera kwa falsafa ya mwamba ngozi...
 
Hakuna benki inatoa mkopo kwa utaratibu huo.Km gari ilikuwa dhamana, wanahitaji tu kadi ya gari na siyo gari wala funguo
Dah.... Chief ungekutana na stori za "Sungura akasema....." nadhani ungezimia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
uwe na benzi ya 255,000,000 ukose pa kulilaza ooh but an away kumbe ni story tuu
Hutakosa pa kulaza benzi lakini je hap mahali ni salama? Kule benki ni salama kwanza kwasababu ya walinzi imara, pili hata kama gari ikiibiwa ikiwa mikononi mwa benki utalipwa gari nyingine, ujanja huo mkubwa mno kwa 15,000/=!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…