PostGE2025 Mwabukusi: Vurugu zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kuonyesha dissatisfaction, hakuna kura iliyopigwa kuanzia saa 4

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi hawakuridhia michakato ya zoezi hilo. Pia amedai kuanzia saa nne asubuhi hakuna kura zilizopigwa akieleza Tume inatakiwa kuhojiwa ilihusikaje katika vurugu hizo za Oktoba 29

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…