Mkuu watie vidole tu..hiyo problm ni ngumu kumeza kama viagra pia vimefeliHabari wanajamvi, poleni kwa mtikisiko wa kiusalama kwa ndugu yetu Lissu dua zetu Allah anazidi kumpa wepesi.
Niende kwenye mada mi nikijana wa 26yrs old nina kazi yangu na najitegemea kwa kila kitu.
Ni kijana mwenye mvuto sana kwa kina dada wa rika zote, kiukweli nasumbuliwa saana hasa na watoto wakali mno.
Nahisi mvuto wangu ni pigo la maisha kwangu kwasababu inabidi niwakimbie viumbe hao kwasababu siwezi kuwashughulikia nina upungufu wa nguvu za kiume juzi hata nimejaribu kutumia dawa za viagra inayoitwa NJOI ndio sikuweza kusima kabisa siku mbili hadi aibu na mrembo niliyekua nae ananidai anataka nimle ili roho yake itulie maana siku ile nilimdanganya kwamba naumwa.
Msaada wenu maana mpaka natamani kujiweka mchafu nivute bangi au niwe mlevi wasinipende naona mvuto wangu unagharimu maisha yangu.
Ahsanteni
Ha ha umemfurahisha saana mtu angu any way ila sio rahisi hivo kukesha na mtoto wa kike huku una mfinger print wakati mashine ipo inaumiza kinyama yaanMkuu watie vidole tu..hiyo problm ni ngumu kumeza kama viagra pia vimefeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajavaa sidiria[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Una mvuto kama huyu hapa?
Nishakua na demu before ila nikiwa na age ya 23 ndo Kwa mara ya kwanza nalala na demu hapo ghafla ikaanza kugoma nikiwa na demu haisimama nikiwa mwenye inasimama tena kwa nguvuAsubuhi uume unasimama?
Mara ya mwisho uume kusimama ni lini?
Ulishawahi kukamua demu kabla tangu uzaliwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli hilo ni zito mno..just I cant imagine if it was me having such probem..mkuu nakushauri ungeenda dr specialist kwa matatizo haya nafikiri huko utapata mwangaza kuhusiana na tatizo lako..kila la heriHa ha umemfurahisha saana mtu angu any way ila sio rahisi hivo kukesha na mtoto wa kike huku una mfinger print wakati mashine ipo inaumiza kinyama yaan
Mkundu wa mama akoJe umewahi jaribu upande mwingine kwako huenda wewe ni chakula ila hujijui
Mkuu unapiga nyeto too much?...maana nyeto ikizidi inaua mishipa ya pipeNishakua na demu before ila nikiwa na age ya 23 ndo Kwa mara ya kwanza nalala na demu hapo ghafla ikaanza kugoma nikiwa na demu haisimama nikiwa mwenye inasimama tena kwa nguvu
dah pole sana jaribu kufanya mazoezi yanaitwa pelvis tafuta YouTube namna wavyofanyaShukran... Ila ndugu usiombe mtihani huu ukukute aisey unauma saana maana hapa bongo hamna wataalam wa mambo haya kwa kadiri nilivyoulizia