General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Mkuu inaonekana una sura km ya jamaa wa pale magogoniNi Mara Chache Sana Kukuta Mwanaume mwenye Sura Nzuri Ni Straight Wengi Huwa Mahanithi kama Huyu Jamaa
Dalili Za Uhanithi Ziko Wazi Ikiwa pamoja Na
-Uzuri Ulipitiliza Kwa Mwanaume
-Kutoota Ndevu/siyo kwa wote
View attachment 586099 View attachment 586100
View attachment 586099 View attachment 586100
-
Ha ha ha, mpaka Pesa?Mashine ndo kila kitu. Kwanza uwasira unaonekana kama huna pesa ila ukiwa na pesa unakuwa bonge la HB na warembo watakukimbilia tu
BUJA
hahaha wanaiita mbuzi kafia kwa buchaDah hii inaitwa mbwa kala mbwa *****,
Pambana tu na hali yako mkuu.
ππππ΅Angalia mvuto wako usiwavutie na wa jinsia yako.
Sio fresh hivi ndugu yang kua na utu basiNadhani una pepo la kishoga linakunyemelea, maana huwezi kuwa 26yrs afu ukuni unakusumbua. Watch it!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran... Ila ndugu usiombe mtihani huu ukukute aisey unauma saana maana hapa bongo hamna wataalam wa mambo haya kwa kadiri nilivyouliziawaone madaktari watakusaidia ila weka imani na muumba wako yy ndio ametaka uwe hivyo pengine.
Ndio mi ni MuarushaSorry wewe ni mtu wa kasikazini.. ?? Nauliza hv nna maana yangu..
Sent using Jamii Forums mobile app