Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,633
- 6,373
Jaribu kujali hisia za watu basi mambo gani haya??Angalia mvuto wako usiwavutie na wa jinsia yako.
Jaribu kujali hisia za watu basi mambo gani haya??Angalia mvuto wako usiwavutie na wa jinsia yako.
Ahsante ndugu yangu
Hahahaaahha unajitegemea kila kitu?? MmghhNiende kwenye mada mi nikijana wa 26yrs old ninakazi yangu na najitegemea kwa kila kitu.
Ofkoz binadamu hatufanani, mimi na wewe hatufanani kamwe maana mimi pipe yangu inasimama hasa! Utafananaje na mimi wewe ambae hata ukitumia viagra bado haisimami?Kafie mbele na wivu wakike kama huna mvuto watoto wakike hata ukitongoza kwa mkwanja hawakuelewi usidhani kila mtu nihibo mzee binadamu hatufanani kila mtu na nyota yake....
We tulia n anuksi zako za ushoga
Huu wivu ni extraordinary aiseeehNi Mara Chache Sana Kukuta Mwanaume mwenye Sura Nzuri Ni Straight Wengi Huwa Mahanithi kama Huyu Jamaa
Dalili Za Uhanithi Ziko Wazi Ikiwa pamoja Na
-Uzuri Ulipitiliza Kwa Mwanaume
-Kutoota Ndevu/siyo kwa wote
View attachment 586099 View attachment 586100
View attachment 586099 View attachment 586100
-
Angalia mvuto wako usiwavutie na wa jinsia yako.
Unataka ajali hisia za watu! Watu gani hao unaowasema? kwa namna ipi kijana? Ok, anyway bandiko lako nimeliona nachoweza kukushauri ni kitu kimoja tuu kwamba cheza na wakatiJaribu kujali hisia za watu basi mambo gani haya??