Shule ya Kata unauliza vitu unique upo serious kweli?
Tumia muda huu kumuhonga Mwalimu mkuu wa shule unayoipenda mtoto wako asome, watu wenye kipato kizuri Watoto zao wanafaulu lakini hawaendi kwenye hizo shule za serikali kwahiyo nafasi lazima ziwepo.
Cheza Sasa na Mwalimu mkuu wa shule ya serikali unayoipenda, MPE mzigo wake ale Christmas January mtoto akaripoti kwenye shule yake, walimu wakuu ndio wenye mamlaka ya hizo nafasi.