Mvumo wa radi

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,468
Reaction score
8,105
Tupendane penzi liwe sawasawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo lingine liende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilooo

Hakika nina mapenzi na huu wimbo kwakweli.

Big up @Alikiba kwa wimbo huu kwakweli
 
Nyimbo ya kiba lazima uisikilize mara 2 au 3 ndo utaielewa na kuipenda. Hii nyimbo nzur sana tena ya kisonko. Nashangaa wanapondea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…