Mvumilie tu, hayupo aliyekamilika

Mvumilie tu, hayupo aliyekamilika

a20s

Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
25
Reaction score
54
Natumaini hamjambo wale wagonjwa Mungu awaponye kwa uwezo wake, naandika hapa kwa uchungu jinsi nnavoona ndoa nyingi zinavyoteketea Hususan kwa vijana aged 25 to 40 niseme tu hili nalo ni janga kama majanga mengine

Ninaavyoona mimi sababu hasa ni kutokuwa wavumilivu ni kweli kunammbo yanaboa to the maximum lakini bado yanasameheka na kusahaulika.

Jifunze kusamehe na kusahau utakuwa na maisha marefu, usipende kushughulishwa na mke/mume hadi ukasahau Kuna mambo ya msingi kuliko mume/mke

Mume/mke mlikutana wakubwa kila mtu na mambo yake kwann akutese hadi akudhuru nafsi yako, pia kuachana sio suluhisho maana hata huko utakakoenda utakutana na wengine labda zaidi ya huyo uliyemuacha

Unakuta mtu tayar anafamilia lakini kisa kaona message ya mapenzi utaskia nenda kwenu sikutaki tena kumbuka kufanya hivyo maana yake ni kumpa uhuru akafanye anavyotaka kitu ambacho sio suluhu

Tambua athari ambazo zitajitokeza Hususan kwa watoto ni mke au mume nani leo atakuwa tayar kubeba mzigo wa mwenzake? Asume utampata japo kwa tochi lakin kisaikolojia unafkiri watoto watkuaje kuona wanalelewa na baba/mama asie wake? Ilihali wa kwao yupo hai? Eti kisa umekuta sms ya mapenzi. Kwamtazamo wangu mmi hata ungemfumania kabisa kaa chini tumia hata mwezi kutafakar kilichotokea utapata maamuzi sahihi ukizingatia faida na hasara za hicho unachotaka kufanya hata ukijaribu kuchukua mifano Kwa watu unaowajua na madhara waliyopata baada ya kuachana

Bye the way mlikutana wote ni wakubwa na kila mmoja ashafanya mambo yake na wengine wewe unataka kujiua bure kwann? Utakasirika mwishoni unapata maradhi unakufa wewe wenzio wanajilia kiulaiini

Tulinde ndoa zetu kwa faida ya vizazi vyetu.
 
Natumain hamjambo wale wagonjwa mungu awaponye kwa uwezo wake, naandika hapa kwa uchungu jinsi nnavoona ndoa nyingi zinavoteketea Hususan kwa vijna aged 25 to 40 niseme tu hili nalo ni janga kama majanga mengine

Nnaavyoona mmi sababu hasa ni kutokuwa wavumilivu ni kweli kunammbo yanaboa to the maximum lakini bado yanasameheka na kusahaulika.

Jifunze kusamehe na kusahau utakuwa na maisha marefu, usipende kushughulishwa na mke/mume hadi ukasahau Kuna mambo ya msingi kuliko mume/mke

Mume/mke mlikutana wakubwa kila mtu na mambo yake kwann akutese hadi akudhuru nafsi yako, pia kuachana sio suluhisho maana hata huko utakakoenda utakutana na wengine labda zaidi ya huyo uliyemuacha

Unakuta mtu tayar anafamilia lakini kisa kaona message ya mapenzi utaskia nenda kwenu sikutaki tena kumbuka kufanya hivyo maana yake ni kumpa uhuru akafanye anavyotaka kitu ambacho sio suluhu

Tambua athari ambazo zitajitokeza Hususan kwa watoto ni mke au mume nani leo atakuwa tayar kubeba mzigo wa mwenzake? Asume utampata japo kwa tochi lakin kisaikolojia unafkiri watoto watkuaje kuona wanalelewa na baba/mama asie wake? Ilihali wa kwao yupo hai? Eti kisa umekuta sms ya mapenzi. Kwamtazamo wangu mmi hata ungemfumania kabisa kaa chini tumia hata mwezi kutafakar kilichotokea utapata maamuzi sahihi ukizingatia faida na hasara za hicho unachotaka kufanya hata ukijaribu kuchukua mifano Kwa watu unaowajua na madhara waliyopata baada ya kuachana

Bye the way mlikutana wote ni wakubwa na kila mmoja ashafanya mambo yake na wengine wewe unataka kujiua bure kwann? Utakasirika mwishoni unapata maradhi unakufa wewe wenzio wanajilia kiulaiini

Tulinde ndoa zetu kwa faida ya vizazi vyetu.
Asante kwa taarifa
 
Kwakweli mimi mwanamke wangu wa ndoa nikapata uhakika kaliwa na kamaa mwingine iyo ndo itakua mwisho wetu. Sijali tunawatoto au nini . Ntalea na kuhudumia wanangu . Siwezi ishi kinafki uku sina furaha . Maisha ni mafupi
 
Unampa nafasi tu mkuu utaacha wangapi wengine hufanya sio kwamba wahuni basi tu mazingira huchangia
 
Kweli kaka utamkuta mnaishi mbali yaani kuktatana kwa mwaka mara 2 au tatu huyu hata ukiskia amecheat mvumilie tu hujui yaliyomkuta
 
Back
Top Bottom