Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,167
- 1,079
Unamuomba Mungu yupi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo nashangaa napiga zangu misere uku tanganyika ata sioni mvuaMbona hakuna mvua hapa, nipo royal pub natandika Balimi
mvua kweli ilipita japo siyo kubwaMbona hakuna mvua hapa, nipo royal pub natandika Balimi
Basi jamaa atakuwa na mtero wa papuchi.mvua kweli ilipita japo siyo kubwa
Hapa mwanza kuna mvua za ajabu ajabu zinazonyesha na kuharibu mipango ya watu
Asubuhi ya Leo nlikua na mihadi na demu mkali sana nliemtokea j2 iliyopita. Akanipromise anatimba Leo nimgegede akitoka church
Lahaulaaa!!! Mtoto anajiandaa kuja toka igoma aje huku Ghana limvua hilo aaagggrrrr ,hapa naomba Mungu iishe mapema ahadi itimie
Hizi mvua za Mwanza nuksi tupu[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji19] [emoji19] [emoji35]