mkata-mkaa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 296 Reaction score 181 May 13, 2019 #1 Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data
Master jay Senior Member Joined May 28, 2012 Posts 194 Reaction score 32 May 13, 2019 #2 Hao wataalam wa hali ya hewa, huwa wanachoongeaga sicho kinachotokea, hvyo tumwombe Mungu ajibu km ndoto mkata-mkaa said: Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data Click to expand...
Hao wataalam wa hali ya hewa, huwa wanachoongeaga sicho kinachotokea, hvyo tumwombe Mungu ajibu km ndoto mkata-mkaa said: Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data Click to expand...
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,750 May 13, 2019 #3 Nilisikia jumapili ya jana ila naona hadi muda huu inanyesha
mkata-mkaa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 296 Reaction score 181 May 13, 2019 Thread starter #4 Master jay said: Hao wataalam wa hali ya hewa, huwa wanachoongeaga sicho kinachotokea, hvyo tumwombe Mungu ajibu km ndoto Click to expand... Ngoja tusubil mkuu
Master jay said: Hao wataalam wa hali ya hewa, huwa wanachoongeaga sicho kinachotokea, hvyo tumwombe Mungu ajibu km ndoto Click to expand... Ngoja tusubil mkuu
Abdul kalaam JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 441 Reaction score 565 May 13, 2019 #5 Nini maana ya utabiri ? Ukijua maana yake hutopata tabu
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 May 13, 2019 #6 Mvua zimegundua kuwa Dar sio makuu ya nchi tena kwa hiyo zimemua kunyesha kama mikoani
Ulimbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 3,766 Reaction score 4,046 May 13, 2019 #7 mkata-mkaa said: Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data Click to expand... Kwani wao ndo wamezileta? Muulize aliyeziruhusu zinyeshe.
mkata-mkaa said: Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data Click to expand... Kwani wao ndo wamezileta? Muulize aliyeziruhusu zinyeshe.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 May 13, 2019 #8 mkata-mkaa said: Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data Click to expand... Watu wa makao makuu ya nchi Dodoma njooni huku mtujibu sisi watu wa mkoani Dar
mkata-mkaa said: Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini... Watalam wa hali ya hewa naombeni data Click to expand... Watu wa makao makuu ya nchi Dodoma njooni huku mtujibu sisi watu wa mkoani Dar
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,911 Reaction score 21,928 May 13, 2019 #9 joanah said: Nilisikia jumapili ya jana ila naona hadi muda huu inanyesha Click to expand... Kwani upo Dar sehemu gani?
joanah said: Nilisikia jumapili ya jana ila naona hadi muda huu inanyesha Click to expand... Kwani upo Dar sehemu gani?